Category : Maswali ya Biblia

Jina la Bwana libarikiwe karibu tuweze kujifunza tena Neno la Mungu litupalo uzima ndani yetu… Tusome andiko hilo ili tupate maana ya mstari huo Zaburi 38:10 “Moyo wangu unapwita-pwita, Nguvu zangu zimeniacha; Nuru ya macho yangu nayo imeniondoka”. Maana ya neno “moyo wangu unapwita pwita, ni sawa na kusema moyo wangu unauma hivyo maana ya ..

Read more

Shalom, Jina la Bwana Yesu lisifiwe milele Kwa Neema za Bwana tutaangazia ni sifa gani alizonazo mtu ambaye amekombolewa kwenye mikono ya adui shetani,  na kwa kujifunza hayo basi utaongeza maarifa zaidi.. Maandiko yanasema,  Marko 5:1-5,8-9,13-16 [1]Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi. [2]Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa mwokozi wetu Yesu Kristo. Neno la Mungu linaonyesha kuwa Mungu ni nabii ikimaanisha kuwa ni kiongozi anayesimamia na kuliendesha kundi kubwa la watu wenye misimamo na mitazamo tofauti kulingana na lugha, tabia na mwenendo.hata kwa Mungu wetu itoshe kusema kuwa yeye ni nabii kwakuwa ..

Read more

Karibu tujifunze Neno la Mungu, Tunapozungumzia nafsi tunamzungumzia mtu mwenyewe, kwahiyo badala ya kusema “Tambua thamani ya nafsi yako” tunaweza tukasema TAMBUA THAMANI YAKO!. Watu wengi leo wanatoa maisha yao bure kwa mambo yasiyo na maana, wanauza nafsi zao bure kwa mambo ya ulimwengu huu, kwasababu ya tamaa za miili yao, tamaa za fedha, mali ..

Read more

Shalom karibu tujifunze Tusome Mathayo 23:11 “Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa” Maana ya kudhili ni kunyenyekea au kuchuka chini, au kushushwa chini Mathayo 23:11 “Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 12 Na ye yote atakayejikweza, atadhiliwa; na ye yote atakayejidhili, atakwezwa” ..

Read more