Archives : March-2024

Katika Agano la Kale arabuni imetajwa mara nyingi zaidi. Hivyo Arabuni ni Eneo ama sehemu ambayo iko mashariki ya kati. Ampapo wafanyabiashara mbali mbali walikuwa wakimletea Fedha, dhahabu nk Mfalme Sulemani 2Nyakati 9:14 “mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na maliwali wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha”. ..

Read more

MASUKE NI NINI? Masuke ni ile sehemu ya nafaka inayotoa ua na mbegu ndani yake, Kwamfano Ngano suke lake linachipuka kwa pale juu, na nafaka kama mahindi suke lake ndio lile linalochipukia hindi lenyewe. Lakini nafaka yote sio suke, wala hindi lote sio suke, bali ile sehemu inayotoa mbegu au ua au tunda ndio inaitwa ..

Read more

Je nyuni ni nini kama tusomavyo katika maandiko Nyuni ni neno linalomaanisha ndege. Baadhi ya vifungu katika biblia vinavyolitaja neno hilo; Zaburi 102:5 “Kwa ajili ya sauti ya kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. 6 Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni”. Sefania 2:14 “Na makundi ya wanyama ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu litukuzwe karibu katika kujifunza maneno ya uzima ya Bwana wetu Yesu kristo . Katika biblia takatifu yapo maneno ambayo tunakutana nayo wakati tunasoma maandiko na tunakuwa hatufahamu maana ya maneno hayoTutaangalia moja ya neno nalo ni MBARI. Je neno mbari linamaanisha nini ? Mara nyingi Neno hili linatajwa katika biblia, ..

Read more

Huyu Azazeli ni Nani tunayemsoma katika walawi 16:8? Mambo ya Walawi 16:8[8]Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya BWANA; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. Tukiangalia Kwa ufupi habari hii, katika Mambo ya walawi Sura ya 16, tunaona kwamba katika siku ya upatanisho wa Wana wa ..

Read more

JIBU… Herode, mtu mashuhuri katika Biblia, alitoa hotuba ambapo watu walimsifu kwa hotuba yenye hoja nzuri, iliyojaa sifa na utukufu wake mwenyewe. Hata hivyo, watu walipaza sauti, “Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu.” Na yeye Herode akilijua hilo, kuwa yeye ni mwanadamu tu, akazipokea sifa zile. Kilichofuata baada ya pale ni malaika wa ..

Read more

Kafiri ni mtu ambaye haamini imani fulani. Makafiri ni wale ambao hawaamini kwamba Kristo alikuja na kufa kwa ajili ya dhambi za ulimwengu, hawa hawana tofauti sana na wapagani. Mtu yeyote asiyeshika njia za Bwana Yesu Kristo(neema) na kumkana, mtu huyo ni kafiri… Yuda 1:14 “Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu ..

Read more

Kutokana na vifungu hivi je Mungu anajuta? Hesabu 23:19[19]Mungu si mtu, aseme uongo;Wala si mwanadamu, ajute;Iwapo amesema, hatalitenda?Iwapo amenena, hatalifikiliza? 1 Samweli 15:11[11]Najuta kwa sababu nimemtawaza Sauli awe mfalme; maana amerudi nyuma, asinifuate, wala hakufanya nilivyomwamuru. Samweli akasikitika, akamlilia BWANA usiku kucha. Ukitazama vifungu hivyo ni kama vinakinzana, utaona hapo kwenye kitabu cha hesabu kinasema ..

Read more

Uasherati. Ni kitendo cha kufanya tendo la ndoa kwa makubaliano ya hiari kwa watu wawili mwanamke na mwanamume ingali bado hawajaowana. Neno hili alilizungumza Bwana wetu Yesu Kristo. Mathayo 5:32[32]lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya UASHERATI, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.” Hivyo ikiwa umewahi kufanya ngono ..

Read more

Upako ni Uweza wa kipekee wa Roho Mtakatifu ambao huwa huingia ndani ya mtu, ili kumsaidia kufanya jambo fulani kirahisi zaidi, au anakuwa na uwezo wa kutenda jambo ambalo hapo kabla alikuwa haliwezi kulifanya kwa urahisi. Zamani kibiblia, mtu kabla hajatawadhwa kuwa mfalme, ilikiwa ni lazima itie mafuta, ikiwa na ishara kwamba, mafutwa yaliyomwagwa ndani ..

Read more