Archives : March-2024

Daawa ni madai, shitaka, malalamiko, au hukumu inayoweza kutokea pale mshirika mmoja anapomdhulumu au amekufanyia jambo baya. 1Wakorintho 6:1 “Je! Mtu wa kwenu akiwa ana daawa juu ya mwenzake athubutu kushitaki mbele ya wasio haki, wala si mbele ya watakatifu? 2 Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe ndugu katika Kristo Yesu. Maneno haya mawili yanatumika sana kwa Watakatifu wengi, na huenda huwa unayasikia mara kwa mara lakini huenda hujui nini maana yake. Maana hata mimi nilikuwa nikiyasikia kwa muda mrefu lakini sikuwa najua maana yake hapo kabla. Sasa leo tutakwenda kujifunza maana ya maneno haya mawili. Shalom Ni neno ..

Read more

JIBU… Embu tusome Yohana 18:28  “Kisha wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa mpaka Praitorio, nayo ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya ile praitorio,wasije wakanajisika,bali wapate kuila Pasaka”. Ukumbi wa hukumu ambao ndio Praitoria,ambao unakuwepo ndani ya majumba ya wafalme, wahalifu wenye kesi ambazo zilipaswa ziamuliwe na Mfalme .. au liwaji wa mji, basi walipelekwa ..

Read more

Kombeo Ndio hiyo hiyo teo, hi moja ya silaha ya kurusha iliyotumika kipindi cha zamani wakati wa vita.. Kombeo/teo ilitengenezwa kwa Ngozi au Kamba, na jiwe lilikuwa likiwekwa katikati yake na kurushwa kumwelekea adui. Kwa ulimwengu wa sasa Silaha ya manati ndio inayotumika kama mbadala ya teo. Hivi ni vifungu ambavyo utakutana na neno hilo; ..

Read more

Jehanamu au Jehanum, ni neno lenye asili ya Kigiriki , limetafsiriwa kutoka kwa lugha ya Kiyahudi, Ge-hinnom, linalomaanisha bonde la mwana wa Hinomu. Eneo hili lipo kusini mwa Yerusalemu lilitumiwa na watu ambao walikuwa hawamchi Bwana,.walitumia eneo hilo kwa kuwatoa watoto wao dhabihu kwa kuwapitisha kwenye moto kwa miungu waliyoipata Kanaani. Jambo hili lilikuwa chukizo ..

Read more

JIBU…. Sifa ni kitendo cha kumshuhudia Mungu, au kuyasimulia matendo makuu ambayo ameyafanya au aliyonayo, na sifa huwa inaambata na mguso wa ndani unaomfanya mtu arukeruke, acheze, afurahie, aimbe, ashangalie, apige kilele kwa nguvu, kwa hayo aliyoyaona kwa Mungu wake… Kwamfano tunapoona jinsi, mbingu na nchi, jua na mwezi, na milima na bahari, vilivyoumbwa kwa ..

Read more

JIBU… Ufisadi kibiblia ni tofauti na jinsi watu wanavyoitafsiri, kikawaidia ufisadi unatafsirika kama kuhujumu uchumi wa nchi au shirika fulani Lakini kibiblia ufisadi hautafsiriki hivyoUfisadi kibiblia unamweleza mtu mwenye tabia ya uzinzi na uasherati uliozidi kupita kiasi kwa maana nyingine kundi hili linajulikana kama makahaba au Malaya Hivyo unapoona neno hili katika biblia moja kwa ..

Read more

JIBU… Shekina au shekhinah /schechinah, Ni neno la kiyahudi linalomaanisha, “kutua” au “kuweka makao” au “makazi” ya uwepo wa Mungu duniani… Basi utukufu wa shekina maana yake ni kujifunua kwa uwepo wa Mungu kwa dhahiri duniani, na kujifunua kwake kunaweza kuchukua mfumo wa vitu mbalimbali vya asili kama vile moto, wingu,moshi,mwanga, kijiti kinachoteketea n.k.,.. Shekina ..

Read more

JIBU… Mpango wa Mungu wa kurejesha uhusiano wake na mwanadamu ulianza na taifa moja tu, Israeli ambalo liliundwa na Ibrahimu na Isaka. Jumuiya ya Waisraeli ilikua ni kuwa jeshi kubwa la makabila 12, na watu wa mataifa walikuwa watu wa jamii nyingine. Mungu amekuwa akitembea na Israeli pekee kwa zaidi ya miaka 1,500, bila kushughulika ..

Read more

JIBU…. Matowashi ni watu waliojitoa wakfu kwa ajili ya Mungu (ufalme wa mbinguni) , ambao hawajihusishi na mambo ya wanawake yaani kuwa na mke au familia…Mfano wa matowashi katika bibliaMtume Paulo, Yohana mbatizaji, Barnaba, Eliya Mtishbi na Bwana wetu YESU KRISTO Lakini kuna jambo ambalo Bwana Yesu alilisema katika kitabu cha Mathayo, ambalo lilikanusha kuhusu ..

Read more