Archives : June-2024

Jina la YESU kristo Lihimidiwe. Karibu tujifunze Biblia Wimbo Ulio Bora 2:9 “Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.” Kwanza kabisa KIMIAMI ni dirisha kubwa lililo katika GHOROFA. Hivyo Madirisha makubwa yaliyo katika ghorofa (sio yaliyo katika nyumba za chini)ndiyo hayo huitwa kimiami. Mfano ni ..

Read more

Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya Mungu… Baadhi ya watu wanafikiri kuna mahali shetani amefungwa na atakuja kufunguliwa badae na wengine wanaamini anaishi kuzimu au chini ya bahari sehemu ambayo ameweka utawala wake unaofanana na wa hapa duniani.. Jambo moja tunalotakiwa kujua ni kwamba shetani hajafungwa na wala haonekani katika umbo la mwili ..

Read more

Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe karibu katika kujifunza maneno ya Uzima.. JIBU Jambo la kwanza kulifahamu na kulikumbuka kila wakati ni kuwa katika lugha yetu ya kiswahili neno ELOHIM, hamna mahali linaonekana likitajwa katika biblia yetu kwasababu halipo katika lugha ya kiswahili. Neno Elohim ni neno ambalo lipo katika lugha ya Kiebrania likiwa linamaanisha MUNGU… ..

Read more

Wakorintho 3:17 “Basi ‘Bwana’ ndiye Roho; walakini alipo Roho wa Bwana, hapo ndipo penye uhuru” JIBU: Maana ya Kauli hiyo kwa tafsiri nyingine ni kuwa , kama Roho wa Mungu hayupo basi mahali hapo panakuwa hakuna uhuru wowote, kwa mujibu wa maandiko katika biblia. Lakini inapaswa tunafahamu ya kuwa ni aina gani ya uhuru Roho ..

Read more

JIBU Katika mfano huo Yesu alitaka wajifunze kwa nini Mungu alimtukuza namna ile, leo hii tunajua ni kiasi gani Mungu alimtukuza mwokozi wetu Yesu Kristo kwa viwango vya juu. Yeye ndiye mtu maarufu kuliko watu wote duniani hajawahi kutokea kama yeye na hatatokea kamwe, jina lake linatajwa kila sekunde ulimwenguni kote…Mpaka kufikia mataifa makubwa kutaka ..

Read more