Archives : August-2024

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: JE dhambi zote ni sawa? Hakuna iliyo kubwa na ndogo? Yaani aliyeua na anayesengenya au kusema Uongo ni sawa? Jibu: turejee Maandiko yanasema Nini kuhusu Hilo Yakobo 2:10 “Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. 11 Kwa ..

Read more

Shalom JE ipo tofauti Gani kati ya ‘Maasi’ na ‘Maovu’? Maovu ni yale mambo afanyayo mtu kinyume na Maagizo ya Mungu, nayo hutokana na Shetani (Mwovu, mathayo 5:37) mfano wa Maovu ni Uasherati, Ulawiti, Ufiraji, dhuluma, ibada za sanamu na yote yanayofanana na hayo. Maasi ni yale Maovu yanayofanywa na Watu waliomjua Mungu Kisha wakajitenga ..

Read more

Karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Swali: Je! Mtu aliyeoa hujiongezea kibali zaidi mbele za Mungu kuliko ambaye bado hajaoa?! Kulingana na Andiko hili.. Mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Jibu: La! Si kweli kwamba kuoa ni kujiongezea kibali mbele za Mungu. Kibali mbele za Mungu hupatikana kwa njia moja ..

Read more

Shalom. Swali: Nini maana ya hakuna hekima Wala Ufahamu Wala shauri juu ya Bwana? Mithali 21:30 30 Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA. Jibu: tunaweza kulielezea kwa wepesi zaidi kama ” hakuna hekima Wala Uelewa/ufahamu au Shauri la kibinadamu linaloweza kusimama kinyume na Mungu”. Kama Maandiko yanavyosema katika Wakorintho 1 Wakorintho 3:19 ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tofauti kati ya kuwa Mtakatifu (1petro 1:15-16) na kuwa mkamilifu (Mathayo 5:48) MTAKATIFU ni mtu msafi, aliyetakaswa, afanyaye matendo mema na asiye na mawaa. Biblia inatuasa tuwe watakatifu kama alivyo Baba yetu wa Mbinguni 1Petro 1:15 “bali kama yeye aliyewaita ALIVYO MTAKATIFU, ninyi nanyi iweni watakatifu katika ..

Read more

Shalom. Wakati Mtume Paulo akiwa kifungoni Rumi ndiyo aliandika waraka wa kwanza na wa pili kwa timotheo. Naye timotheo wakati anandika waraka alikuwa Efeso kipindi hicho kama Anavyosema mwenyewe Mtume Paulo 1Timotheo 1:3 “Kama vile nilivyokusihi ukae Efeso, nilipokuwa nikisafiri kwenda Makedonia, ili uwakataze wengine wasifundishe elimu nyingine;” Maranatha. Washirikishe na wengine habari hizi njema ..

Read more

  Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Makuhani hawa ni watu maalum waliokuwa wanahudumu katika “Hema ya kukutania  jangwani.” wakati wana wa Israeli wakiwa jangwani na katika “Hekalu la Mungu” baada ya wana wa Israeli kuingia katika nchi ya ahadi (kanaani) na kumjengea Mungu nyumba. Sasa Kazi kubwa ya Makuhani ilikuwa ni “kufanya ..

Read more

Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Somo hili ni muhimu kwako wewe mshirika unayeudhuria  kanisani kila jumapili na wewe pia muhudumu wa Madhabahuni ikiwa ni Shemasi,Mchungaji,Nabii muimbaji wa kwaya nk. Watu wengi leo hii wanakwenda kanisani na wanatumika madhabahuni wengine lakini hawatambui ni nani wanayemtumikia na anataka nini?. ..

Read more