Kuweka msalaba kaburini kuna maana yeyote?

Maswali ya Biblia, Uncategorized No Comments

Shalom mpendwa karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Bwana wetu yesu kristo.

Jibu ni kwamba inategemea na hiyo ibada inayofanywa ina maudhui gani ikiwa hiyo Ibada inalenga kumuombea mfu hiyo ni dhambi mbele za Mungu lakini ikiwa na lengo la kuwafundisha watu, kuonya,kushukuru na kuwajenga watu waishi maisha ya kumpendeza Mungu hiyo ni njema sana mbele za Mungu.inaelezewa hapa kwenye neno la Bwana.

inakubalika mbele za Mungu,

Mhubiri 7: 2 “Heri kuiendea nyumba ya matanga, Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake”.

Siyo vibaya kuweka msalaba juu ya kaburi la marehemu kwakuwa Ile ni ishara ya mauti ya kristo na tumaini la ufufuo wa wafu lakini ni kosa kuuangalia msalaba kama utimilifu wote uwe ni ishara tu na siyo kuhusishwa katika masuala ya ibada na usitumike kusujudiwa kama baadhi ya madhehebu yanavyofanya.

Ubarikiwe

Washirikishe na wengine habari hizi njema kwa kushea

Ikiwa utapenda kupata msaada wa kumpokea Yesu maishani mwako bure, Basi wasiliana nasi kwa namba uzionazo chini ya makala hii.

Pia kwa kupokea mafundisho ya kila siku kwa njia ya WHATSAPP, jiunge na channel yetu kwa kupofya link hii >> https://whatsapp.com/channel/0029VaBVhuA3WHTbKoz8jx10

Kwa Mawasiliano: +255789001312 au +255693036618

Bwana akubariki.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *