Author : magdalena kessy

JIBU: Tusome.. Yohana 19: 28  “Baada ya hayo Yesu, hali akijua ya kuwa yote yamekwisha kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, Naona kiu. 29  Kulikuwako huko chombo kimejaa siki; basi wakatia sifongo iliyojaa siki juu ya ufito wa hisopo, wakampelekea kinywani. 30  Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, Imekwisha. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake” Sifongo ..

Read more

Mwanazuoni ni mtu aliyejikita Katika utafiti au usomi wa ndani zaidi Katika tasnia fulani , lengo ni kupata ufumbuzi wa yale magumu yenye utata au yaliyojificha… Hivyo Katika biblia Mwanazuoni ni mtu anayeingia ndani kujifunza Biblia, ili kuieleza katika urahisi zaidi au katika ufasaha zaidi  kwa jamii au kutoa majibu ya mambo magumu yaliyo ndani ..

Read more

Jina la mwokozi wetu Yesu kristo lihimidiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je madhabuhi ni nini? Madhabahuni ni eneo la kanisa ambalo watu wote uenda na kumtolea Mungu sadaka , kuomba, kushiriki meza ya Bwana, na kupeleka shukrani za sifa kwa Mungu (ni mahali pa kukutana na Mungu). Kwa maana hiyo madhabahuni si pale ..

Read more

Wibari ni nani, na kwa nini wametajwa kama viumbe wanne wenye akili nyingi(Mithali30:26) Wibari ni wanyama wadogo ambao mwonekano wao, unakaribiana na sungura, wanajulikana pia kwa jina lingine kama pimbi, kwanga au perere Na wanyama hao wametajwa sana katika maandiko mbalimbaliMfano Zaburi 104:18 [18]Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu,Na magenge ni kimbilio la wibari. ..

Read more

Agano la kale Mungu alikuwa aI’mkitumia njia kuu tatu, alitumia kuwasilisha ujumbe, au kuleta majibu au kuthibitisha jambo… Njia ya kwanza ni manabii, njia ya pili ni ndoto, na njia ya tatu ni Urimu na thumimu. Tunalithibitisha hilo katika kitabu cha 1Samweli 28:4  pale ambapo Mfalme Sauli alipokwenda kuuliza kwa Bwana kuhusu vita iliyokuwa inamkabili ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe. Karibu tujifunze neno la Mungu wetu, ambalo ndilo chakula cha roho zetu. Je! Noeli ni nini? Noeli ni neno la kilatini linalomaanisha (siku ya kuzaliwa) kuzaliwa kwa Bwana na mwokozi wa ulimwengu, Yesu kristo. Kwa kifaransa linaweza kumaanisha “habari njema” au “msimu wa krisimasi” kwa ujumla. Hivyo ni ..

Read more

Hosana, neno la Kiyahudi linalomaanisha “OKOA,” lilionekana likitajwa mara ya kwanza siku Ile alipokuwa anaingia Yerusalemu. Yohana 12: 12 “Nayo siku ya pili yake watu wengi walioijia sikukuu walisikia ya kwamba Yesu anakuja Yerusalemu;13 wakatwaa matawi ya mitende, wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, HOSANA! Ndiye mbarikiwa ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli!”Habari ..

Read more

Masihi ni neno la kiebrania linalomaanisha “Mpakwa Mafuta,” (Ni mtu aliyeteuliwa na Mungu kwa kusudi fulani) wapo watu walioteuliwa na Mungu rasmi kuwa wafalme, hao waliitwa masihi wa Bwana , Pia wapo waliochaguliwa kuwa manabii, nao walijulikana kama masihi wa Bwana.. Maana nyingine ya neno Masihi ni “Kristo”,hivyo Katika biblia mamasihi (Makristo au watiwa mafuta) ..

Read more