Tunza Moto wa Madhabahu usizimike. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo, Karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Agano la Kale ni kivuli harisi cha Agano jipya, na kama tukitaka kulifahamu vizuri agano jipya ni lazima tulielewe vizuri agano la Kale itakuwa ni rahisi zaidi kupata ufahamu wa biblia nzima(kuhusu wokovu Mungu ..
Author : Paul Elias
Upo karibu na Yesu? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Sio Wakristo wote wako karibu na Yesu Kristo au wanaushirika wa karibu naye. Kil Mkristo alieokoka ana Yesu ndani yake(Roho Mtakatifu) lakini si kila Mkristo ana ushirika wa karibu sana na Yesu Kristo. Kuwa karibu na Yesu Kristo sio ..
Na uzima wa milele ndio huu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. ” Huwezi kufurahia maisha ya wokovu (kuona furaha ya wokovu usipomfahamu Kristo kwa upana zaidi) utaona wokovu wako ni kawaida tu nk” Ili uweze kupiga hatua kila siku ya kiroho ni lazima ujifunze kuyatafakari maandiko. Unaweza ..
Fahamu siri iliyopo katika Neno la Mungu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Sehemu ya pili 02(Mwisho wa somo hili). Katika somo lililopita tulijifunza tukaona Neno la Mungu ni nini? Tuliona kuwa Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe, ni uzima,ndio lililoumba vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Lakini leo ..
Fahamu siri iliyopo katika Neno la Mungu. Sehemu 01 Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Tunakuwa ni wazito wa kusoma maandiko ni kwa sababu hatujui uweza au nguvu iliyoko katika maandiko/Neno la Mungu. Wengi wetu tunasoma tu kama sehemu ya Ukristo wetu na tunajikuta hakuna kitu kikubwa ..
Unataka Mungu akutumie? Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ukweli ni kwamba Mungu anatamani sana kufanya kazi na sisi na sisi pia tunatamani sana kufanya kazi na Mungu na ajidhihirishe kwetu ulimwengu umgeukia kama libido cha baba zetu(Mitume) lakini kuna mambo ambayo yanamzuia Mungu kufanya kazi kikamilifu na sisi. ..
Ni nini unachokiona kwa Yesu?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Je! Yesu Kristo katika maisha yako unamtazama kama nani? Na ni nini unachokiona na kukitaka kwa Yesu Kristo? Wengi wetu tutasema Yesu Kristo tunamtazama kama Mwokozi, tutasema tunachokiona kwake ni ukombozi,tutasema tunachokiona na tunataka atufanyie nini hapa ndio ..
Mtu hataishi kwa Mkate tu,ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu Je! Unaishi kwa kila neno linalotoka katika kimywa cha Mungu? Mathayo 4:4″ Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.”… Na kila neno linalotoka katika kinywa cha Mungu ni lipi? Ikiwa hufahamu ..
Lugha iliyonenwa siku ya pentekoste ilikuwa haieleweki kwa akili za kibinadamu? Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu katika mjadala huu tulitafakari neno la uzima! Swali:”Je ni kweli ile lugha iliyonenwa wakati wa kunena kwa lugha(siku ya pentecoste haikuwa inaeleweka kwa lugha ya kawaida?Mbona katika matendo 2:3-11 watu walielewa kile kilichokuwa kinanenwa na ..
Amka utoke katika upofu wa Kiroho. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mtume Paulo anawaandikia watakatifu waliokuwa Thesalonike maneno haya.. 1 Wathesalonike 5 5 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa nuru, na wana wa mchana; sisi si wa usiku, wala wa giza. 6 Basi tusilale usingizi kama wengine, ..