SEHEMU YA NNE(04). Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele na milele karibu katika mwendelezo wa somo hili. Ikiwa hukupata sehemu ya kwanza na ya pili na ya tatu, basi wasiliana nasi kwa ajiri ya kupata sehemu zilizopita. NB: unapomaliza kusoma omba. Leo tutakwenda kutazama kanuni ya nne (04). 4.kanuni ya kujidhabihu. Kama tunavyofahamu ..
Author : Paul Elias
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima.. Mungu anatamani sana kutembea na sisi na kujifunua zaidi kwetu, na anataka wakati mwingi sana tuhisi uwepo wake katika maisha yetu.. Lakini kuna mambo baadhi ambayo yanaweza kuwa kikwazo kwa sisi kushindwa kutembea na Mungu vizuri. Sasa ni muhimu sana kuyafahamu mambo ..
Unataka kumuelewa zaidi Mungu?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima! Kumuelewa Mungu katika viwango vingine ni jambo rahisi sana. Na wala Mungu hajaweka ugumu fulani katika kumuelewa yeye! Mungu ameamua kujiweka katika njia rahisi sana kueleweka kiasi kwamba mtu yeyote mwenye nia ya kutaka kumuelewa Mungu basi ni lazima ..
Je! Utoaji wako unamgusa Mungu? SEHEMU YA 03. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu katika mwendelezo wa somo hili sehemu ya tatu ikiwa hukupata sehemu ya kwanza na yapili unaweza wasiliana nasi ili kupata masomo hayo. Katika sehemu ya pili tunaona kanuni ya pili ambayo ni upendo “hatutoi kwa sababu tunavyovingi vya ..
Kusudia kukua kiroho Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Wakristo wengi sana wanatamani kukua kiroho, wanatamani kumjua zaidi Mungu na kutembea na Mungu kwa viwango vingine vya juu zaidi. Bahati mabaya wengi wanaishia tu kutamani hivyo na hakuna jambo linafanyika wanakuwa hawajakusudia ndani yao. Lakini ukweli ni kwamba ..
Usiishie kujua tu bali jua na kutenda. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu. Wakristo wengi sana tunafahau mambo mengi kumhusu Mungu jinsi alivyo na anatutaka tufanye nini!? Lakini bahati mbaya idadi kubwa ya Wakristo wanaishia kujua tu na hawatendi kile wanachokifahamu.. ama hawafanyi vile inavyowapasa kufanya. ..
Je! Utoaji wako unamgusa Mungu?. SEHEMU YA PILI 02. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.. karibu katika mwendelezo wa somo hili Muhimu sana kwa Mkristo yeyote ulimwenguni. Katika sehemu ya kwanza tulijifunza kanuni moja ambayo ni kanuni ya umiliki.. “Mungu hawezi akakwambia utoe kitu ikiwa humiliki kitu” yaani hakuna umiliki hakuna utoaji. Sasa ..
Unatambua uko katika nyakati gani Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Wakristo wengi wanaishi pasipo kutambua wapo katika nyakati gani au majira gani!, kiasi kwamba wamejisahau na wengine hawajui kabisa wanaishi katika nyakati za hatari kiasi gani!, dalili nyingi za kurudi kwa Bwana Yesu zimeshaonekana nyakati zile zilizotabiliwa ..
Je! Utoaji wako unamgusa Mungu? Sehemu ya 01. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima.. “Kuna utoaji unaomgusa Mungu na usiomgusa Mungu “ katika maisha ya Kikristo utoaji hasa kwa Mungu wetu ni wajibu wa kila mmoja mmoja wetu. Na anaetakiwa kufanya hivi si tajiri peke yake la! Bali ..
Ni kweli njia ni nyembamba na njia imesonga iendayo uzima?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mathayo 7:14“Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.” Bwana Yesu ambae anataka watu wote waokolewe.. 2 Petro 3:9“Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, ..