Author : watakatifuwasikuzamwisho

Umeshawahi kujiuliza kwanini Bwana Yesu alisema “amuaminiye yeye haukumiwi (Yohana 3:18)” harafu baadae anakuja na kusema tena “ANIAMINIYE MIMI KAMA VILE MAANDIKO YALIVYONENA? Umeshawahi tafakari kwa umakini maneno hayo..

Read more

SWALI: je! Ni sahihi kwa Mkristo kwenda kwenye makabauri au mapango na kuwaomba au kuwauliza mababu zake waliofari..

Read more

Je! Kiti cha enzi cha joka kilipo ni wapi, na ni nani atakayepewa kiti cha enzi na nguvu?

JIBU: Kiti cha enzi cha joka (ibilisi na shetani) kinachozungumziwa hapo ambacho mnyama atapewa na huyo joka ni hapa hapa duniani kwa sababu ibilisi ndio mkuu wa dunia hii ( lakini ni kwa k..

Read more

SWALI: Biblia inasema katika (1 Timotheo 2:15) kuwa, Mwanamke ataokolewa kwa uzazi wake, je! Ni uzazi upi huo unaoz..

Read more

SWALI: Nabii Yoeli alitabiri kwa uweza wa Roho wa Mungu na kusema..

Yoeli 2:28 Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, waume KWA WAKE, WATATABIRI, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu watao..

Read more

Mtume Paulo alisema maneno haya katika waraka wake wa pili kwa Wakorintho

2 Wakorinto 7:8 Kwa sababu, IJAPOKUWA NALIWAHUZUNISHA KWA WARAKA ULE, SIJUTI; hata ikiwa nalijuta, naona ya kwamba waraka ule uliwahuzunisha, ingawa ni kwa k..

Read more

SWALI: Bwana Yesu apewe sifa, naomba kuuliza swali hili, je! Mkia wa joka kubwa jekundu ambao anautumia kuziangusha nyota za mbinguni chin..

Read more

Ikiwa umeshampa Kristo maisha yako kwa kutubu dhambi zako kwa kudhamiria kuziacha  na kubatizwa katika ubatizo sahihi, basi tambua kuwa, hiyo ni hatua ya awali kabisa katika safari yako ya wokovu wa nafsi yako, lipo jambo jingine muhimu sana baada ya hilo, nalo si jingine zaidi ya KUDUMU KATIKA FUNDISHO ..

Read more

Kwanza hadi anaitwa Bwana wa mavuno maana yake ni kuwa, anao watendaji kazi ambao kazi yao ni hiyo ya uvunaji, hivyo, hao watenda kazi wote ambao ni wavunaji, Bwana wao ndiye huyo anayeitwa Bwana w..

Read more

Mahubiri haya, yaliwafanya watu kuridhika, na zaidi wakaendelea katika maovu yao huku wakilitumainia HEKALU LA BWANA, Ndipo Yeremia akawaambia msiseme hekalu la Bwana tunalo, HEKALU LA BWANA NDIO HAYA! Haya ninayowaeleza kwa habari ya njia zenu ndio hekalu, Yale YALIYOANDIKWA ndio hekalu la Bwana, na n..

Read more