USIWEKE TUMAINI LAKO HAPA DUNIANI. Yeremia 45: 5 “Je! Unajitafutia mambo makuu? Usiyatafute; kwa maana tazama, nitaleta mabaya juu ya wote wenye mwili, asema BWANA; lakini roho yako nitakupa wewe iwe nyara, katika mahali pote utakapokwenda” Shalom: Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Mtume Paulo kwa ufunuo wa Roho ..
Author : Yonas Kisambu
USIVAE MAVAZI YA KIGENI. Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote WALIOVA MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya ..
Watajua ni Neno la Nani Litakalosimama, Neno Langu, au Neno Lao. Yeremia 44: 28 “Nao watakaoukimbia upanga, watatoka katika nchi ya Misri, na kuiingia nchi ya Yuda, watu wachache sana; na wote wa Yuda waliosalia, waliokwenda nchi ya Misri ili kukaa huko, WATAJUA NI NENO LA NANI LITAKALOSIMAMA, NENO LANGU, AU NENO LAO.” Je! U ..
MKUMBUKE MUUMBA WAKO SIKU ZA UJANA WAKO Jina la Bwana Yesu Kristo Mkuu wa uzima libarikiwe. Karibu tujifunze Neno la Kristo. Neno la Mungu linasema… “Maombolezo 3:27 “Ni vema mwanadamu aichukue nira Wakati wa ujana wake.” Vijana wengi wanadhani kumtafuta Mungu ni mpaka uzeeni, mara nyingi utasikia wakisema mpaka niutumie ujana wangu kwanza vizuri… mambo ..
Usimtafute Yesu kwasababu ya faida zako tu!. Bwana Yesu Kristo asifiwe mwana wa Mungu. Karibu tujifunze maneno ya Mungu.. Watu wengi leo wamechoka kwa kuhangaika huku na huku kwa watumishi wa Mungu wakitafuta suluhisho la matatizo yao pasipo kufanikiwa…Mpaka wengine wamesafiri umbali mrefu wakitafuta kuponywa na kufunguliwa katika vifungo mbali mbali, Ila bado hawaoni matokeo ..
YATAFAKARI MATESO YA BWANA YESU Hii neema ya wokovu ambao unapatikana sasa bure, tusidhani yule aliyetuletea hakuingia gharama yoyote kuupata,…haikuwa ni jambo la kutamka tu na kusema niaminini mimi mtaokoka!. Kristo ilimlazimu aingie gharama ili kukamilisha kitu kinachoitwa WOKOVU. Kwani wokovu ili ipatikane ina kanuni yake, ilimpasa mtu apatikane ambaye atatolewa kama sadaka, ..
Ni nini tunajifunza kwa Shamgari? Shamgari alikuwa ni shujaa wa Israeli aliyetokea kipindi cha Waamuzi na kuwaokoa Israeli mikononi mwa Wafilisti kwa kuwapiga watu mia sita (600) kwa mkono wake mwenyewe akitumia tu fimbo ya kuswagia ng’ombe. Tusome habari yenyewe.. Waamuzi 3:31 “Tena baada yake huyo alikuwapo Shamgari mwana wa Anathi, aliyepiga katika Wafilisti watu ..
USIVAE MAVAZI YA KIGENI Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya na ..