Category : Biblia kwa kina

Je biblia inaruhusu kubatiza kwa ajili ya wafu?(1Wakorintho 15:29)

1Wakorintho 15:29 “Au je! Wenye kubatizwa kwa ajili ya wafu watafanyaje? Kama wafu hawafufuliwi kamwe, kwa nini kubatizwa kwa ajili yao? Ili kuelewa mtume Paulo alimaanisha nini katika habari hiyo, tuanzie mistari ya juu kidogo, 1Wakorintho 15:12 “Basi, ikiwa Kristo anahubiriwa ya kwamba amefufuka katika wafu, mbona baadhi yenu husema kwamba hakuna kiyama ya wafu? ..

Read more

Mchokoo ni nini katika maandiko? (Matendo 26:14)

Zamani wakulima walipokuwa wanakwenda kulima na wanyama, hususani ng’ombe, walikuwa wanajua kuwa watakumbana na ukinzani wa baadhi ya hawa wanyama, Kwasababu mara nyingine wapo ng’ombe viburi, ambao walikuwa hawataki kulimishwa, hivyo  kila wakati walikuwa wanarusha mateke yao tu, na kuwasumbua sana wakulima. Hivyo wakulima wakabuni kitu mifano wa mkuki ambacho walikisogeza karibu kabisa na migongo ..

Read more

SWALI: Bwana Yesu alimaanisha nini kusema “Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake” JIBU: Ili tuelewe vizuri tusome, Habari yote, katika Mathayo 11:16-19 Mathayo 11:16 “Lakini nitakifananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wanaokaa sokoni, wanaowaita wenzao, wakisema,17 Tuliwapigia filimbi, wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, ..

Read more

SWALI: Kauli hiyo ilimaanisha nini? Kwanini Bwana Yesu asema “Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme” Luka 10:17 “Ndipo wale sabini waliporudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hata pepo wanatutii kwa jina lako. 18 Akawaambia, Nilimwona Shetani, akianguka kutoka mbinguni kama umeme. 19 Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule ..

Read more