2 Timotheo 2:16-17[16]Jiepushe na maneno yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu, [17]na neno lao litaenea kama donda-ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto, Neno donda ndugu, ni kidonda kinachoweza kutokea kwenye sehemu ya mwili,baada ya damu kushindwa kupita kwenye kiungo kimojawapo, Katika vidole au viungo vya ndani ..
Category : Maswali ya Biblia
SWALI: Je, huu mstari una maana gani? Mithali 18:9 “Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharabu”. Mharabu maana yake ni mharibifu.. hapo inaonyesha jinsi gani uvivu unavyoweza kuleta uharibifu katika mambo au vitu na kuonyesha jinsi uvivu na uharibifu vilivyosambamba. Mfano mtu anayefanya Kazi ya Ujenzi wa ghorofa chini ya ..
Mithali 29:25[25]Kuwaogopa wanadamu huleta mtego;Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama. JIBU.. Ukiendelea kusoma anasema… Mithali 29:25b Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama Unapokuwa na hofu yoyote kuhusiana na wanadamu watakuonaje unapoamua kufanya jambo lolote la KiMungu fahamu utajikuta Katika upotevu mkubwa sana..hofu ya wazazi wako watakuonaje unapoamua kuokoka na kumfata Kristo, hofu ya watu watakuonaje unapoamua kuvaa ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Bisi zinazotajwa katika maandiko yaani Biblia ni tofauti kidogo na Bisi tunazozifahamu sisi. Tunafahamu Bisi tunazozijua sisi katika taifa letu ni yale Mahindi ya njano mdogo madogo maarufu yanajulikana kama “Mahindi ya bisi” ambayo hukaangwa na kisha hufutuka/kulipuka lipuka kisha yanabadilika rangi kuwa Meupe kwa Lugha ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Yapo mambo mengi sana ambayo Mwokozi wetu Yesu Kristo aliyazungumza ama kuyafundisha kwa mifano iliyo dhahiri kabisa lakini ndani ya mifano humo kulikuwa na Mafumbo ambayo si kila mtu aliyaelewa wapo watu wachache sana waliomuelewa kwa ile mifano aliyozungumza iliyokuwa na mafumbo yanayolenga jambo fulani!!? Sasa ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kabla ya kujua ni makao gani Bwana wetu Yesu Kristo ni vizuri kwanza tukajua kwa picha ya kawaida nini maana ya Makao? Makao ni Sehemu au Mahali anapopachagua mtu ampabo hapo ataendesha maisha yake ama kufanya shughuli nyingine kwa kadili apendavyo ama atakavyo yeye. Lakini kwa ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ndoto Ni mtiririko wa wa picha na mawazo pamoja na hisia zinazokuja wakati mtu akiwa hajitambui yaani amelala!, na zinakuja wakati asioujua yeye, anapopata usingizi tu basi mfululizo wa picha na mawazo vinaanza kujitengeneza vyenyewe tu. Na pia mtu anakuwa hapangi nini aote leo au asiote ..
Tumaini ni hali Fulani ya nafsi/ akili yenye kutarajia matokea mema/chanya juu ya jambo fulani kuja kutokea .Katika kumtumikia Mungu sisi kama wateule wa Kristo Tumaini ni moja ya nguzo muhimu katika Ukristo katika nguzo tatu ambayo ya kwanza ikiwa ni UPENDO, Ya pili ni IMANI na ya tatu ni Tumaini. (1Wakorintho 13:13).Hivyo hivi viwili ..
Je Biblia ina maananisha nini kusema maneno haya kwa habari ya mitume? Matendo 5:13 “hapana hata mmoja aliyethubutu kuambatana nao; ila watu waliwaadhimisha; ”JIBU: Tusome mstari huo; Matendo ya Mitume 5:12-16 [12]Na kwa mikono ya mitume zikafanyika ishara na maajabu mengi katika watu; nao wote walikuwako kwa nia moja katika ukumbi wa Sulemani; [13]na katika ..
Bwana Yesu asifiwe Karibu tena katika kujifunza neno la Mungu litupalo uzima wa milele Hapo maandiko yaliposema Warumi 3:22 “ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti; 23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;” Hapa tuzingatie mambo haya hili tuelewe ..