Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Mtu mwenye rehema ni mtu mwenye huruma, asiyeshikilia chuki,wivu,hasira, visasi, ni mtu mwenye kusamehe watu wengine hata kama amekosewa na alistahili kutoa huku juu ya mtu alie mkosea yeye anachilia kabisa. Maandiko yanasema mtu wa namna hii anaitendea mema nafsi yake. Na Biblia inasema pia kwa ..
Category : Maswali ya Biblia
Hedaya ni neno linalomaanisha Zawadi ,na ili kuonyesha pongezi au shukrani kwa wema uliofanywa basi inapelekea kutoa zawadi.. Neno hili limetajwa katika maandiko.. Zaburi 68:28-29[28]Ee Mungu, uziamuru nguvu zako;Ee Mungu, uwe hodari uliyetufanyia makuu. [29]Kwa ajili ya hekalu lako YerusalemuWafalme watakuletea hedaya. Zaburi 76:11[11]Wekeni nadhiri, mkaziondoeKwa BWANA, Mungu wenu.Wote wanaomzunguka wamletee hedaya,Yeye astahiliye kuogopwa. Isaya ..
JIBU..Tusome Zaburi 92:10[10]Bali pembe yangu umeiinua kama pembe ya nyati,Nimepakwa mafuta mabichi. Biblia inapozungumzia mafuta mabichi haina maana kuwa ni Mafuta ambayo hayajapitishwa katika moto , hapana,bali ni mafuta yaliyo Katika upya ambayo hayana muda mrefu, kipindi cha agalo la kale na hata sasa walitumia mafuta ya mizeituni Katika Chakula na Matumizi ya ibada, yalitumika ..
Mithali 19:11 Busara ya mtu huiahirisha hasira yake; Nayo ni fahari yake kusamehe makosa Kabla ya kuendelea mbele tutazame kwanza Nini maana ya busara Busara ni kitendo cha mtu kuwa na uwezo wa kaughahiri hasira yake wakati anapoudhiwa mtu na huwa mwepesi wa kusamehe makosa. ukisoma Kutoka 34:6 Bwana akapita mbele yake, akatangaza, Bwana, Bwana, ..
Maana halisi ya neno zaburi ni “Nyimbo takatifu” hivyo Katika biblia zaburi ni kitabu cha nyimbo takatifu na zimekuwa takatifu kwasababu lengo lake ni kumfanya mtu amrudie Muumba wake, ni njia moja wapo ya kumwimbia Mungu na kumsifu, ijapokuwa zaburi pia ulikuwa ni unabii wa Mambo yanayokuja mbeleni.. Nyimbo hizo zilitumika pia katika kipindi cha ..
Haki kibiblia ni tofauti na haki kama inavyojulikana na watu wengi, maana haki kisheria inatafsirika kama kile mtu anachostahili kuwa nacho au kile anachoruhusiwa kufanya, au kile anachostahili kupokea kutoka kwa wengine kwa mujibu wa sheria’. Na maana nyingine haki inafahamika kama watu kutenda matendo mema ni kupata haki . Lakini kibiblia haki ni tofauti ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Tunaposoma Biblia ndani yake kuna agano la Kale na Agano Jipya, Sasa katika agano la Kale mambo mengi yalikuwa yakifanyika mwilini yaani walikuwa wanalitimiliza katika mwili. Mithali 31:6 “Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini ..
Tusome.. Zaburi 4:4-5[4]Mwe na hofu wala msitende dhambi,Tafakarini vitandani mwenu na kutulia.[5]Toeni dhabihu za haki,Na kumtumaini BWANA. Katika andiko hili biblia inasema “Mwe na hofu wala msitende dhambi” hajasema mwe na hofu ila msitende dhambi kwamba hofu ikizidi sana inaweza kuleta madhara, sivyo bali hofu inapaswa kuwepo nyingi.. Na tukiangalia hofu inayozungumziwa hapo sio hofu ..
Mithali 10:22 “Baraka ya Bwana hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo” Tuelewa kwanza hapo aliposema baraka ya Bwana hutajirisha, aliposema hapo hakumaanisha kuwa kipimo cha kubarikiwa na Bwana, baada ya hapo ni kuwa tajiri tu, hapana maana ukiangalia wapo watu wasio mcha Mungu ambao ni matajiri, na wengine maskini lakini na hao pia ni matajiri Kwa ..
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Moja ya mistari inayonukuliwa vibaya katika Biblia moja wapo ni huu hasa kwa watu wa Mungu, maana imefika mahali Fedha/mafanikio yanahubiliwa zaidi kuliko Yesu Kristo Mwokozi wetu. Mhubiri 10:19 “Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko, Na divai huyafurahisha maisha; NA FEDHA HULETA JAWABU LA MAMBO YOTE”. Sasa ..