Category : Maswali ya Biblia

Wibari ni nani, na kwa nini wametajwa kama viumbe wanne wenye akili nyingi(Mithali30:26) Wibari ni wanyama wadogo ambao mwonekano wao, unakaribiana na sungura, wanajulikana pia kwa jina lingine kama pimbi, kwanga au perere Na wanyama hao wametajwa sana katika maandiko mbalimbaliMfano Zaburi 104:18 [18]Milima mirefu ndiko waliko mbuzi wa mwitu,Na magenge ni kimbilio la wibari. ..

Read more

Isaya 45:3 “nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli”. Hazina za giza ni baraka zilizoshikiliwa na adui shetani, ambazo zinapaswa kuwa zetu.Mfano wa hazina za gizani ni zile wana wa Israeli walizozipata kutoka katika jeshi ..

Read more

Marago ni makazi ya muda ambayo hutumiwa kwa madhumuni maalumu, kama vile wakati wa vita,  watu waliweka kambi au mahema katika maeneo mbalimbali, hayo ndiyo marago  Kwa mfano ukisoma Waamuzi 10:17-18 inasema.. [17]Wakati huo wana wa Amoni walikutana pamoja, wakapanga marago huko Gileadi. Wana wa Israeli nao wakajikusanya wakapanga marago Mispa. [18]Na hao watu, wakuu ..

Read more

Masihi ni neno la kiebrania linalomaanisha “Mpakwa Mafuta,” (Ni mtu aliyeteuliwa na Mungu kwa kusudi fulani) wapo watu walioteuliwa na Mungu rasmi kuwa wafalme, hao waliitwa masihi wa Bwana , Pia wapo waliochaguliwa kuwa manabii, nao walijulikana kama masihi wa Bwana.. Maana nyingine ya neno Masihi ni “Kristo”,hivyo Katika biblia mamasihi (Makristo au watiwa mafuta) ..

Read more

Shalom!, Ukisoma katika Mathayo 24:14-30 utakutana na neno hili. Sasa lilikuwa likimaanisha nini? Neno Talanta kwa Kigiriki ni “Talanton” pia kwa kilatini ni “Talentum”  Sasa zamani hususani katika nyakati za agano la Kale Talanta kilikuwa ni kipimo cha uzito. Hasa kilikuwa kikitumika katika kupima uzito wa Madini kama Dhahabu na Shaba. Na Talanta moja ina ..

Read more

Jina Lusifa halipatikani katika Biblia ya toleo la Swahili Union version (SUV) au matoleo mengine ya Kiswahili. Ni neno la Kilatini linalomaanisha “Nyota ya Alfajiri” na limetajwa katika:  Isaya 14:12 [12]Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi!  Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! Watakatifu wa zamani walitafsiri Biblia kutoka lugha ya ..

Read more