SWALI: Bwana Yesu apewe sifa, naomba msaada wa jibu la swali hili, kwanini Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka arobaini (40), mvua ya gharika ilinyesha siku arobaini, WaIsraeli walikaa utumwani kwa miaka..
SWALI: Bwana Yesu apewe sifa, naomba msaada wa jibu la swali hili, kwanini Nuhu alitengeneza safina kwa muda wa miaka arobaini (40), mvua ya gharika ilinyesha siku arobaini, WaIsraeli walikaa utumwani kwa miaka..
JIBU: Tofauti na wengi wanavyodhani kuwa, andiko hilo maana yake ni ufuate kile ambacho unachokiona kipo sawa ndani ya moyo wako, au kama kuna jambo fulani basi ufuate kama moyo wako unavyokutuma, ndugu hicho kitu..
JIBU: Krismasi haipo sehemu yo yote ile katika maandiko matakatifu, na wala maandiko hayajasema popote pale kuwa Kristo alizaliwa Tarehe 25 ..
JIBU: Maneno hayo mtume Paulo alimwandikia Timotheo (na sisi pia), juu ya watu fulani, kwamba, tujiepushe na watu wa aina hiyo, watu ambao wanafikiri utauwa au kuishi maisha ya kumpendeza Mungu katika Kristo ni njia ya kupata pesa, a..
SWALI: Mtume Yohana kwenye maono yake, aliwaona wafu wakubwa kwa wadogo wamesimama mbele ya kiti cha enzi (mbele za Mungu), kisha na VITABU VIKAFUNGULIWA. Swali ni je! Hivyo vitabu ni vipi a..
SWALI: Naomba kuuliza, hivi katika maandiko mitume wa Bwana Wetu Yesu Kristo walibati..
Mstari huo unawahusu watu wote wanao tawala, au wenye dhamana ya kuongoza watu fulani au kundi fulani la watu, awe kiongozi wa kiserikali, kiongozi wa famalia au kiongozi w..
SWALI: Ni kwanini Makuhani katika agano la kale waliamriwa kutwaa mke mwanamke ambaye ni ..
SWALI: Je! Ni lazima mtu afahamu au akajifunze kidogo lugha ya Kiebrania ili aweze kuelewa maandiko matakatifu na Kumfah..
Wakati Bwana Yesu alipowatuma wale mitume wake 12 (thenashara), kwenda kuhubiri habari njema za ufalme wa Mungu, aliwapa maagizo fulani fulani, na miongoni mwa maagizo hayo ni kuwa, mtu asiwe na KANZU MBILI, sasa je! Kanzu ndio vazi takatifu kwa wakristo kulingana na andi..