JIBU: Mambo ya nyumba ambayo mfalme Hezekia aliyoambiwa kuyatengeneza sio jengo la kifalme alilokuwa akiishi ndani yake, hapana! Bali ni mambo ya mwili wake wa damu na nyama, ambao siku zote unapinga kufanya mapenzi ya Mungu, hiyo ndiyo nyumba aliyoambiwa kuitengeneza, kwani mwili huu tulio nao ndio nyumba ya maskani yetu ya hapa duniani, maandiko yanasema hivy..