Je! Kiti cha enzi cha joka kilipo ni wapi, na ni nani atakayepewa kiti cha enzi na nguvu?
JIBU: Kiti cha enzi cha joka (ibilisi na shetani) kinachozungumziwa hapo ambacho mnyama atapewa na huyo joka ni hapa hapa duniani kwa sababu ibilisi ndio mkuu wa dunia hii ( lakini ni kwa k..