Ulishawahi kujiuliza swali kama hilo au swali linalofanna na hilo? Au ulishawahi kutamani kitu kama hicho kutoka kwa Bwana? Kama jibu ni ndio, basi fahamu kuwa wewe sio wa kwanza, kwani hata mitume wake waliotembea nae na kula walishawahi omba kitu kama hicho kut..