Category : Maswali ya Biblia

Biblia ni nini? Je Neno hilo lipo katika biblia yenyewe?.

BIBLIA NI NINI? Chimbuko la Neno Biblia, ni kutoka katika lugha ya Kiyunani, lenye maana ya “Mkusanyiko wa vitabu vitakatifu” Kikiwa kimoja kinaitwa Biblioni, lakini vikiwa vingi huitwa Biblia. Na vilizoeleka kuitwa hivyo kwasababu vitabu vya awali vya agano jipya, sehemu kubwa viliandikwa katika lugha hii ya Kiyunani, Kwahiyo vilipokusanywa Pamoja viliendelea kuitwa hivyo hivyo ..

Read more

Mwezi wa Abibu ni mwezi gani?

Mwezi wa Abibu. Mwezi wa Abibu ni mwezi wa kwanza kwa Wayahudi, ambao kwetu sisi tunaotumia Kalenda ya ki-Gregory, huangukia katikati ya mwezi wa tatu (3) au Mwezi wanne (4) mwanzoni, kulingana na mwaka na mwaka. Mwezi huu ulikuwa ni muhimu sana, kwa Wayahudi kwasababu kwanza ndio ulikuwa mwezi wao wa kutoka katika nchi ya ..

Read more