SWALI: Katika agano la kale tunaona manabii walipotabiri, walitabiri kwa jina la Bwana, na tena si hivyo tu, lakini pia waliteswa, walinusurika kuuwawa na wengine hata kuuwawa kabisa kwa ajili ya Bwana huyo huyo ambaye walitabiri kwa jina lake, kwamfano nabii Uria Mwana wa Shemaya, a..
Category : Mungu
SWALI: Naomba kuuliza, biblia inasema kuwa Yesu Kristo ndiye Mungu Mkuu (Tito 2:13), aliye juu ya mambo yote na mwenye kuhimidiwa milele na milele, Amina (Warumi 9:5). Na kumbuka hakuna Mungu wawili bali ni mmoja tu na ana nafsi moja kama maandiko yanavyosema katika (Amosi 6:8). Sasa kama Bwana Yesu ndiye Mungu, je! kule mlimani alienda kumu..
Jina la Bwana na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe, sifa na Utukufu ni vyake milele na milele, Amina. Ulishawahi kujiuliza Kwanini mtume Paulo kwa uweza wa Roho aliandika “BWANA NDIYE..
Leo kwa kibari cha Mungu tutatazama andiko linalosema Mungu ni Roho, na ninaamini kwa neema zake nyingi utapata kujifunza ..
SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Shalom wapendwa ..
Jibu: Mungu anayezungumziwa hapo ni MMOJA TU, YESU KRISTO, ambaye ndiye Baba (Isaya 9:6), tena ni Mwana (Mathayo 14:33), na pia ni Roho (2 Wakorintho 3:17), wala hakuna Mungu watatu na wala Mungu hana nafasi tatu, hivyo ni vyeo tu kama sehemu nyingine anavyofahamika kama Adamu..
Tabia ya Uungu tutakayoshiriki ni ile ya mwili wa Utukufu wa Bwana wetu, na Mwokozi wetu Yesu Kristo, ambayo katika hiyo tutaishi milele pasipo kufa wala kuugua na kutawala naye hapa duniani baada ya karamu ya Mwana-Kondoo na y..
Mungu ana na..
Kivipi Mungu ni Mungu wa miungu, je hao miungu ni..