Shalom. Yapo maagizo mengi sana ya Bwana juu ya namna impasavyo mwanamke wa kiKristo kuenenda. Lakini leo tutaangalia juu ya huduma/wajibu wa mwanamke mzee katika kuukamilisha mwili wa Kristo (kanisa). Mwanamke mzee tunayezungumzia siyo lazima awe tu yule kikongwe au mwenye mvi kichwani, hapana bali mwanamke yeyote mwenye umri wa makamo, ambao wengi wao wanajulikana ..