SWALI: Biblia inasema tusikopeshe kwa riba, je! Wanaowakopesha watu kwa riba wanafanya dhambi? JIBU: Bwana ameruhusu kuchukua riba kutoka katika mikopo tuwapayo wenzetu kama moja ya namna ya kujipatia faida, lakini ameweka mipaka yake. Siyo mipaka ya asilimia za riba za kuwatoza tuwapao mikopo, Hapana, Ila ni mipaka ya kwa nani haturuhusiwi kuchukua riba. Na ..
Archives : December-2021
Uasherati ni kitendo cha kufanya zinaa nje ya ‘kifungo cha ndoa’. Hii ikilenga makundi yote ya watu, yaani kwa mtu ambaye hajaoa/hajaolewa na kufanya kitendo hicho.. Na kwa mtu ambaye tayari ameshaoa/ ameshaolewa, lakini akaenda kufanya kitendo hicho na mtu mwingine ambaye hakufunga naye ndoa. Vyote hivyo ni vitendo vya uasherati.. kwasababu vyote vipo nje ..
1 Wathesalonike 5:18 shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu. 19 Msimzimishe Roho; 20 msitweze unabii; Neno kutweza maana yake ni ‘kupuuzia au kudharau’ jambo fulani. Hivyo hapo inaposema Msitweze unabii inamaanisha kuwa tusipuuzie unabii. Kumbuka Biblia ni kitabu cha kinabii, ambacho sio tu kinaeleza habari ya mambo ..
Wengi wetu tunaposikia neno ufisadi moja kwa moja akili zetu zinatupeleka kwenye vitendo vya ubadhilifu wa fedha za shirika fulani au za taifa kwa faida binafsi.. Lakini kibiblia Neno hili linatumika tofauti..linamaanisha kitendo cha ukahaba au umalaya uliopindukia ambao haujali hata jinsia umri au mazingira.. Hivyo popote pale ukutanapo na Neno hili ujue hiyo ndio ..
Shalom. Yapo maagizo mengi sana ya Bwana juu ya namna impasavyo mwanamke wa kiKristo kuenenda. Lakini leo tutaangalia juu ya huduma/wajibu wa mwanamke mzee katika kuukamilisha mwili wa Kristo (kanisa). Mwanamke mzee tunayezungumzia siyo lazima awe tu yule kikongwe au mwenye mvi kichwani, hapana bali mwanamke yeyote mwenye umri wa makamo, ambao wengi wao wanajulikana ..
Je mtu anamkufuru vipi Roho Mtakatifu mpaka kupeleke asisamehewe kabisa ? Dhambi hii Bwana Yesu aliinena kutokana na tabia aliyoiona kwa wale mafarisayo na waandishi waliokuwa wamemzunguka. Walikuwa ni watu wanaoishi maisha ya unafki wakijua ukweli lakini wasiutende na kibaya zaidi waliutumia ujuzi wao kuwapotosha hata na wengine wasiufahamu ukweli..na ndio maana Bwana Yesu aliwakemea ..
Kibiblia hakuna dhambi kubwa kuliko nyingine kwasababu dhambi zote zina malipo sawa nayo ni mauti. Warumi 6:23 Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. Hii ikiwa na maana kama ulikufa kwa dhambi ya kuzini na mwingine akafa kwa dhambi ya kuua watu ..
SWALI: Ikiwa Ubatizo wa maji, uliletwa na Yohana kwa mara ya kwanza, na yeye ndiye aliyekuwa akiwabatiza watu wote. Swali linakuja je! Yeye naye alibatizwa na nani? Jibu ni kuwa hatufahamu mtu husika aliyembatiza, lakini ni wazi kuwa na yeye pia “alibatizwa”. Pengine na mmoja ya wanafunzi wake ,. Lakini unaweza kuuliza ni kigezo gani, ..