Archives : April-2024

JIBU… Tukianza na maana tunayoifahamu..Kima ambaye ni mnyama jamii ya nyani, ila biblia imeelezea kwa utofauti kidogo.. Na maana halisi ya Neno kima kwenye biblia ni ni thamani ya kitu Katika Pesa, kwa mfano mzuri tunaweza kusema kima cha mchele ni 2000 ,ni kusema thamani ya mchele ni 2000 Na tunalipata hapa… Mithali 31:10[10]Mke mwema, ..

Read more

JIBU.. Tusome ili tupate kuelewa.. Mathayo 22:8-12[8]Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili. [9]Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini. [10]Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni. [11]Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu ..

Read more

Kulingana na vifungu hivi biblia imetaja neno hili Mithali 20:13 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo. Mithali 20:19 “Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Basi, usishirikiane naye afunuaye midomo yake sana”. Neno hili kitango linamaanisha Mtu “MMBEA”, mtu ambaye yuko tayari kusema  kila kitu anachosikia au kuona kutoka kwa wengine. ..

Read more

Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ni kawaida moyo wa Mwanadamu kuugua pale kitu alichotarajia kukipata kikikawia, huenda kwa kuahidiwa na mtu kupewa jambo fulani ama kuahidiwa na Mungu kuwa atapewa jambo fulani pale hicho kitu kinapokawia kuja moyo wake huugua. Maandiko yanasema. Mithali 13:12 “Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ..

Read more

Shalom! Nakusalimu katika jina la mwokozi wetu Yesu Kristo!. Mambo mengi yanashindwa kutoka ndani yetu(kuyaacha) kwa watoto wa Mungu wengi kwa sababu bado hawataki/kuamua(kuchukua hatua). Tabia zilizoko ndani yako wakati mwingine unatamani ziondoke lakini haziondoki, ndio kwanza zinazidi kuongezeka(kuota mizizi) zaidi. yote hiyo ni kwasababu hutaki kuchukua hatua kushughulika na hayo mambo maana Roho Mtakatifu ..

Read more