Archives : May-2024

Uga ni sakafu ambayo hutumika kwa ajili ya kupepetea ngano, au kwa lugha nyingine kupuria ngano, na sehemu hii ilitumikia kipindi cha zamani kama tunavyojua zamani hakukuwa na mashine kama wakati huu hivyo ilikuwa baada tu ya nafaka kutolewa shambani ikiwa pamoja na majani yake moja kwa moja ilipelekwa kwenye hiyo sakafu kwa ajili ya ..

Read more

2 Timotheo 2:16-17[16]Jiepushe na maneno yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu, [17]na neno lao litaenea kama donda-ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto, Neno donda ndugu, ni kidonda kinachoweza kutokea kwenye sehemu ya mwili,baada ya damu kushindwa kupita kwenye kiungo kimojawapo, Katika vidole au viungo vya ndani ..

Read more

SWALI: Je, huu mstari una maana gani? Mithali 18:9 “Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharabu”. Mharabu maana yake ni mharibifu.. hapo inaonyesha jinsi gani uvivu unavyoweza kuleta uharibifu katika mambo au vitu na kuonyesha jinsi uvivu na uharibifu vilivyosambamba. Mfano mtu anayefanya Kazi ya Ujenzi wa ghorofa chini ya ..

Read more

Mithali 29:25[25]Kuwaogopa wanadamu huleta mtego;Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama. JIBU.. Ukiendelea kusoma anasema… Mithali 29:25b Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama Unapokuwa na hofu yoyote kuhusiana na wanadamu watakuonaje unapoamua kufanya jambo lolote la KiMungu fahamu utajikuta Katika upotevu mkubwa sana..hofu ya wazazi wako watakuonaje unapoamua kuokoka na kumfata Kristo, hofu ya watu watakuonaje unapoamua kuvaa ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Bisi zinazotajwa katika maandiko yaani Biblia ni tofauti kidogo na Bisi tunazozifahamu sisi. Tunafahamu Bisi tunazozijua sisi katika taifa letu ni yale Mahindi ya njano mdogo madogo maarufu yanajulikana kama “Mahindi ya bisi” ambayo hukaangwa na kisha hufutuka/kulipuka lipuka kisha yanabadilika rangi kuwa Meupe kwa Lugha ..

Read more

Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ndoto Ni mtiririko wa wa picha na mawazo pamoja na hisia zinazokuja wakati mtu akiwa hajitambui yaani amelala!, na zinakuja wakati asioujua yeye, anapopata usingizi tu basi mfululizo wa picha na mawazo vinaanza kujitengeneza vyenyewe tu. Na pia mtu anakuwa hapangi nini aote leo au asiote ..

Read more