Archives : June-2024

Neno gidamu ni mikanda maalumu iliyotumika kwa ajili ya viatu, kipindi cha zamani viatu vilikuwa havina muoneakano kama wa sasa tunaouona,venyewe vilikuwa na utofauti, kwasababu viatu vya kipindi hichi vingi ni vya muundo wa kutumbukiza lakini vya zamani vilikuwa vinashikiliwa na mikanda ambayo huzungushwa kwenye miguu ili kufanya kiatu kisitoke miguuni, na hiyo mikanda inayoshikilia ..

Read more

SWALI: ni kwanini biblia inakataza tusijiongezee HEKIMA, JE! Kuna ubaya gani kwa mkristro kuongeza maarifa au hekima? JIBU : tusome neno la Mungu kutoka Mhubiri 7::16 ” Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe?” Hekima inayozungumziwa hapo sio hekima ile ya KiMungu tunayoifahamu, sio hiyo,bali hiyo pia hekima ya KiMungu ..

Read more

Bwana wetu yesu kristo Asifiwe. Karibu Tuyatafakari Maandiko matakatifu Kwanza kabisa maana ya neno KUPURA ni ” Kutenganisha mbegu ya nafaka kutoka kwenye suke/ganda lake” Mfano tunapozitoa punje za nafaka (yaani ngano, mchele, maharage n.k) kutoka kwenye masuke yake hapo tunazipura Nafaka hizo Zipo namna mbalimbali za Kupura nafaka, Kwa zama zetu mbinu maarufu zaidi ..

Read more

Shalom watumishi wa Mungu. Karibu katika kujifunza Neno la Mungu .. Maandiko yanaposema “….ASIJE MTU..” na si “… ASIJE SHETANI…” hii inatufunulia ya kwamba anayeitwaa taji ya mtu ni MTU. Hii ni kwasababu shetani mwenyewe taji hiyo haiwezi kumsaidia, ila mtu mwingine akiitwaa taji hiyo itamsaidia huko Aendako! Tutafakari kwa UMAKINI ZAIDI aliyeitwaa taji ya ..

Read more

Kamsa ni kelele zinazoashiria moto au vita (kwa kingereza kelele hizo huitwa battle cries) Tusome baadhi ya vifungu, Umeona hapo,ni vitabu vinavyoelezea siku ile kuu ambayo Bwana atakuja,utaona inafananishwa na siku ya kelele za vita ambazo huja ghafla. Wakati ule wana wa Israel waliuzunguka ukuta wa Yeriko kwa siku saba wakipiga kelele (kamsa) kuashiria vita ..

Read more

Ikiwa unasoma biblia mara kwa mara utakuwa umekutana na neno hili katika vitabu kadhaa. Shokoa maana yake vibarua, yaani watu waliotekwa na kulazimishwa kufanya kazi kwa nguvu. Mfalme Sulemani aliwachukua watu Shokoa 2Nyakati 2:7-8Vifungu vingine vinavyozungumzia juu ya shokoa ni 1Wafalme 5:13, Yoshua 17:13, Waamuzi 1:28, Waamuzi 1:30 Hivi leo shetani anawachukua watu shokoa, anawateka ..

Read more

Shalom watumishi wa Mungu. Karibu tujifunze Maandiko Kwanini bwana yesu alisema maneno haya “Sikuja kuleta AMANI duniani bali mafarakano” Tusome Luka 12::51 “Je! Mwadhani ya kwamba nimekuja kuleta amani duniani? Nawaambia, La, sivyo bali mafarakano 52Kwa kuwa tokea Sasa katika nyumba moja watakuwamo watu watano wamefarakana, watatu kwa wawili, wawili kwa watatu. 53Watafarakana baba na ..

Read more