Archives : November-2024

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Katika kitabu cha Yona sura kwanza kabisa tunaona neno la Mungu linamjia Yona na kumwambia aende Ninawi akauhubirie mji ule uache uovu wake yaani watu wa mji ule watubu wamrudie Mungu. Lakini Yona hakufanya hivyo. Matokeo yake akakimbilia kwenda tarshihi na asiende ..

Read more

Shalom, tunamshukuru Bwana kwa siku nyingine tena aliyotupa.. Wengi wetu tumekuwa tukiomba sana , wengine wameenda mbali zaidi wakiisindikiza maombi yao kwa mifungo ya siku hata mwezi, jambo ambalo ni jema sana na lapendeza sana mbele za Mungu, kwasababu maandiko yametutaka tuombe bila kukata tamaa, (luka 18:1) Lakini leo natamani tujifunze Jambo lingine ambalo Katika ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe milele yote, karibu tuyatafakari Maneno yake.. Usalama wa maisha ya mtoto yapo kwa Mungu lakini pia yapo kwa mzazi, ni jukumu la mzazi kuyajali na kuyathamini maisha ya mtoto hata kabla hajazaliwa mpaka anakuja kufikia hatua ya kuwa mtu mzima, jukumu la kumwangalia na kumjali lipo juu yako pia, na sio la ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe, nakukaribisha katika wakati mwingine tena wa kujifunza neno la Mungu. Swali: Je haya maneno mawili Kushuhudia na Kuhubiri yapo na utofauti Jibu: Ndiyo kuna tofauti katika maneno haya japo yanategemeana, tuangalie maana ya kushuhudia ni nini, kushuhudia limetokana na neno shuhuda, mfano mtu aone jinsi mtoto mdogo alivyo ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima?. Kabla ya kufahamu dhambi ni nini inachotaka tuangalie dhambi ni nini? Dhambi ni nini? Ni uvunjaji wa sheria/maagizo ya Mungu yaani kutokumtii Mungu. Pale tunaposhindwa kumtii Mungu hapo tayari hiyo ni dhambi na dhambi inatendeka kupitia Fikra(mawazo mabaya) kutenda nk. Na dhambi ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, nakusalimu kwa jina la Mwokozi Yesu, karibu katika kujifunza Jibu: Hakuna kosa lolote walilolifanya wana wa Israeli, lililowafanya wakae utumwani miaka hiyo mia nne, lakini lipo jambo ambalo tutajifunza je ni kitu gani kilichopeleka wakae utumwani miaka mingi huko misri Mambo yaliyofanya Mungu awaache wana wa Israeli utumwani miaka 400, yalikuwa ni ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo.. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Katika nyakati za Mwisho hizi kuna mafundisho ya aina nyingi sana. Lakini si mafundisho yote yanamfaa mwamini ijapokuwa yanasemwa madhabahuni na watumishi wengi Lakini si mafundisho anayotakiwa kufundishwa mwamini. Yapo mafundisho ya watu wanaotaka kufanana na Yesu na matamanio yao ni  kwenda ..

Read more