Archives : November-2024

Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Upo umuhimu mkubwa wa wewe mzazi au mlezi kumlea mtoto wako Katika njia inayompasa, kwasababu hataicha kabisa, ndivyo maandiko yanavyotujuza,na Neno la Mungu halisemi uongo,ina maana malezi unayomlea Mtoto wako saivi, yale ya kumpenda Mungu na kuzishika sheria za Mungu, na kumfundisha kuenenda Katika njia zake, fahamu kabisa matunda ..

Read more

Jina Bwana Yesu libarikiwe milele, karibu tujifunze Neno lake.. hili ni fundisho maalumu linalomuhusu mzazi au mlezi, kama upo kwenye nafasi yoyote ya kulea basi zingatia haya, Kitu pekee na kikubwa na cha kuzingatia wewe uliye Katika nafasi ya ulezi ni MAOMBI, Maombi ni silaha kubwa inayoweza kuangamiza mishale yote ya adui shetani, na Maombi ..

Read more

Jina la Bwana Yesu Mfalme wa Wafalme na Bwana wa Mabwana libarikiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Siku ya leo kwa Neema za Mungu tutazidi kuongeza maarifa ya Neno la Mungu tusije tukachukuliwa na udanganyifu wa yule mwovu katika siku hizi za mwisho ambayo udanganyifu umekuwa mwingi sana. Ukisoma kile kitabu cha ufunuo sura ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya mwokozi wetu. Kama Mkristo uliyeokoka ni muhimu sana kujitambua uko katika kundi lipi.? Yapo makundi ya aina Tatu ya Wakristo na katika makundi makuu haya matatu kila moja lina tabia zake na sifa zake.. kupitia sifa hizi naimani utaweza kufahamu upo katika kundi ..

Read more

Shalom, karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu wetu, Na leo kwa Neema za Bwana tutaangazia jinsi gani tunaweza kuwabariki watoto wetu, na kujua ni kanuni ipi tutaitumia ili tuzifikishe kwa Watoto, tofauti na inavyodhaniwa kuwa kumtamkia baraka kwa vinywa vyetu inatosha, ni sawa kufanya hivyo lakini leo tutaenda mbali zaidi, Wewe kama mzazi au mlezi ..

Read more