Shalom karibu tujifunze maneno ya uzima yatokayo kwa Yesu Kristo. Bwana wetu Yesu Kristo anamaanisha kuwa ndani ya moyo wa mwanadamu kuna mawazo mengi ya tamaa ambayo mwisho wa siku hizo tamaa hupelekea upotevu kwamfano mtu atatamani anunue nyumba au awe na mali nyingi ili aweze kuwatendea vibaya wale waliomtendea vibaya wakati Bado hajapata mali ..
Archives : December-2024
Bwana Yesu asifiwe, karibu tujifunze neno la Mungu Yesu Kristo alijulikana kwa sifa nyingi sana, mfano anajulikana kama simba wa yuda, maji ya uzima, mwamba imara nk… Hizi ndiyo tabia ambazo zilimtambulisha Yesu Kristo Likini Leo tutajifunza sifa yake moja, Yesu Kristo kwanini aitwe mwana-kondoo na si mwana- mbuzi au mwana mbuzi au mwana- beberu. ..
Yeremia 1:11 Tena neno la BWANA likanijia, kusema, Yeremia, waona nini? Nikasema, Naona UFITO WA MLOZI. 12 Ndipo BWANA akaniambia, UMEONA VEMA, Kwa maana ninaliangalia neno langu, ili nilitimize. Shalom mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia. Kabla hatujaenda ndani kuangalia ujumbe wa leo, tuangalie kwanza maana ya huo mti wa mlozi alioonyweshwa nabii Yeremia ..
Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ni jambo la muhimu sana kulitambua hili na kujitathimini. Ipo tofauti kubwa sana kati ya kumcha Mungu na kumtumikia Mungu. Bahati mbaya sana watu wanasema wanamcha Mungu kumbe wanamtumikia Mungu tu wala hawamchi. Na siku ile Bwana Yesu hatawatambua kabisa. Tutaangalia mtu ..