Vitimvi ni nini kama ilivyotumika katika biblia? Ni mipango inayopangwa na kikundi cha watu kwa lengo la kuvurugwa, kuharibu, au kutenda ubaya kwa mtu au watu ili kuitimiza mikakati na makusudi waliyonayo juu ya huyo mtu. Baadhi ya watu hukutana ili kufanya ubaya kwa mtu kwa lengo la kudhulumu mali alizonazo, kulipiza kisasi kwa ubaya ..
Archives : January-2025
Ni sehemu ya mwisho iliyo katika mkono wa mwanadamu inayotumika kusaidia kushika au kubeba vitu au kitu. Au Ni sehemu ya mwisho mkononi iliyounganika na kuacha za mwanadamu au mnyama. Hebu tujifunze katika maneno ya Mungu ili tupate maana iliyo Bora zaidi. Danieli 5:24-25 [24]Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na ..
Mwenye kitu atapewa,naye asiye na kitu hata kile alichonacho atanyang’anywa. Jina la Mwokozi Yesu Kristo lihimidiwe milele yote karibu tuyatafakari maneno ya uzima.. Umewahi kufikiria kauli hii aliyoizumgumza Bwana Yesu kwa wanafunzi wake na watu waliomzumguka? Kuna jambo kubwa hapa ambalo Kristo anataka tulifahamu. Marko 4:25 “Kwa maana mwenye kitu atapewa, naye asiye na kitu, hata ..
Fahamu njia kuu ya kumuona Mungu. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mungu kachagua njia moja kuu ya watoto wake waliomwamini kumuona na kuuona uweza wake. Bahati mbaya sana Wakristo wengi wanapoteza shabaha na kuanza kutaka Mungu wamuone katika mambo fulani ambayo sio mabaya lakini sio njia kuu ..
Nawezaje kumfahamu Mungu?. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kila mtu aliemwamini Yesu Kristo yaani Mkristo anatamani kumfahamu zaidi Mungu na anatamani Mungu ajifunue kwake azidi kumfahamu zaidi. Lakini bahati mbaya Wakristo wengi wanaishia kumjua tu Mungu lakini wengi hawamfahamu Mungu. Utajiuliza ni kwa namna gani? Kabla ya ..
Naamini nisaidie kutokuamini kwangu. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe karibu katika tafakari ya neno la Mungu. Andiko hilo tunalipata katika kitabu cha Marko 9:19-23 habari ambayo tunaifahamu wote kama wewe ni Msomaji wa biblia na kuna jambo kubwa hapo tutajifunza siku ya leo. Katika habari hiyo tunasoma juu ya kijana aliyekuwa na pepo ..
Fumbi ni kijito kibibujikacho maji yatokayo katika chemchemi iliyo katika hiyo chamchela.Pia kijito cha Maji ni Mungu mwenyewe kama alivyosema kuwa yeye mti pia ni maji ya uzima yawezayo kukata kitu ya kutenda maovu na maasi mbele za Muumba wetu. Hivyo unaweza kushuhudia kuwa kabla ya kuokoka mtu alikuwa mlevi au mvutaji wa sigara lakini ..
Chamchela ni upepo mkali unaovuma kwa Kasi kiasi cha kupeperusha na kuzoa kila kitu kwa muda mfupi yaani kisulisuli. Tunaweza tukajifunza zaidi na kupata maana iliyo Bora zaidi katika neno la Mungu ambalo ni hili. Zaburi 58:9 “Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipepeiliyorusha kama chamchela, Iliyo mibichi na moto. ” Isaya 29:5 ..
Ufalme wa mbinguni unapatikana kwa nguvu. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo libarikiwe karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Kama vile mambo ya duniani hapa jinsi tunavyoyataabikia na kuyasumbukia ili tuyapate na mwisho tuwe na maisha mazuri. Kama vile Fedha,Elimu,nk Unatumia muda mwingi katika kuhakikisha unajiweka vizuri katika maswala ya kifedha, kuongeza elimu zaidi na kufanya ..
Heri walio masikini wa roho. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo litukuzwe. Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Bwana Yesu anawaambia makutano pamoja na wanafunzi wake waliokubali kupanda/kumfata kule mlimani kwenda kumsikiliza katika hotuba yake na mambo mengi sana aliwafundisha. Akiwaeleza mambo mbali mbali juu ya wao wanatakiwa kuwa ni watu wa namna gani kama hujapata ..