Karibu tujifunze Neno la Mungu… JIBU.. Madhabahu ni sehemu ambayo watu hupeleka sadaka zao…Tunaposoma agano la kale tunaona wana wa Israel walipewa agizo na Bwana la kumtolea sadaka, kulikuwa na sadaka za aina mbalimbali mfano sadaka za dhambi, sadaka za shukrani n.k Na kila sadaka ilitolewa kama sadaka ya kuteketezwa na hapo ndipo ilipolazimu madhabahu ..
Author : magdalena kessy
Shalom, karibu tutafakari Maneno ya Uzima wetu… Neema tafsiri halisi ni upendeleo usiokuwa na sababu yoyote, au kupata kukubaliwa kusikostaili, na Kiuhalisia kuna upendeleo ulio na sababu na usio na sababu, mfano hai wa upendeleo ulio na sababu ni wa sisi wanadamu,ambao tunapendana na kujaliana walio wetu, wale tunaowafahamu na wenye faida kwetu,.. Si rahisi ..
JIBU: 2Nyakati 13:5 “Je! Haikuwapasa kujua ya kwamba Bwana, Mungu wa Israeli, alimpa Daudi ufalme juu ya Israeli milele, yeye na wanawe kwa AGANO LA CHUMVI” Katika Biblia neno ‘Agano la chumvi’ tunaliona mara tatu katika vitabu tofauti tofauti 2Nyakati 13:5,Hesabu 18:19 na Walawi 2:13. Zamani na hata hivi leo katika baadhi ya jamii chumvi ..
Shalom, karibu tujifunze.. JIBU, Tusome.. Kutoka 5:14-16[14]Na wanyapara wa wana wa Israeli, ambao wasimamizi wa Farao wamewaweka juu yao, wakapigwa, wakiambiwa, Kwa nini hamkutimiza kazi yenu jana na leo; kwa kufanya matofali kama hapo kwanza? [15]Basi wanyapara wa wana wa Israeli wakaenda, wakamlilia Farao, wakisema, Mbona umetutendea hivi, sisi watumwa wako? [16]Watumwa wako hawapewi majani, ..
JIBU, Tusome Cheo’ maana yake ni ‘kipimo’Mfano mtu mwenye kipimo kikubwa kazini au katika eneo fulani maana yake mtu huyo ana cheo kikubwa katika hiyo kazi au hilo eneo.. Wakati mwingine mtu mwenye heshima zaidi ya wengine serikalini au kwenye mamlaka fulani mtu huyo ana cheo kikubwa.. Marko 6:21[21]Hata ilipotokea siku ya kufaa, na Herode, ..
Shalom mwana wa Mungu,karibu tuyatafakari Maneno ya uzima… JIBU…. Embu tusome… Mhubiri 1:2-11[2]Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili. [3]Mtu ana faida gani ya kazi yake yote aifanyayo chini ya jua? [4]Kizazi huenda, kizazi huja; nayo dunia hudumu daima. [5]Jua lachomoza, na jua lashuka, na kufanya haraka kwenda mahali pa maawio yake. ..
JIBU.. Maandiko hayajatupa uwazi wa moja kwa moja wa kuelewa kama waliokoka au hawakuokoka pindi walipofahamu uovu walioufanya.. Tukiliangalia hili neno Kuokoka tunakuja kuliona kwenye kipindi chetu cha Agano jipya likiwa na maana ya kukombolewa kwenye uharibifu wa hukumu ya Mungu iliyoikumbuka ulimwengu mzima kwasababu ya dhambi kupitia kifo cha Mwokozi Yesu Kristo anayetuokoa sisi ..
Swali:Je ni kweli nchi au dunia iligawanyika? Je iligawanyika kwa namna gani? Je haya mabara saba yaliyopo yalitokana na huo mgawanyiko? JIBU Mwanzo 10:25 “ Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana KATIKA SIKU ZAKE NCHI ILIGAWANYIKA; na jina la nduguye ni Yoktani”. Ukisoma zaidi sura ya 11 katika kitabu hicho ..
Shalom mwana wa Mungu karibu tujifunze maneno ya Mungu… Baadhi ya watu wanafikiri kuna mahali shetani amefungwa na atakuja kufunguliwa badae na wengine wanaamini anaishi kuzimu au chini ya bahari sehemu ambayo ameweka utawala wake unaofanana na wa hapa duniani.. Jambo moja tunalotakiwa kujua ni kwamba shetani hajafungwa na wala haonekani katika umbo la mwili ..
Karibu tujifunze Maneno ya Mwokozi Wetu Yesu Kristo.. Ayubu 20:4-7[4]Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, [5]Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu? [6]Ujapopanda ukuu wake mpaka mbinguni, Na kichwa chake kufikilia mawinguni; [7]Hata hivyo ataangamia milele ..