Yeremia 17:9[9]Moyo huwa mdanganyifu kuliko vitu vyote, una ugonjwa wa kufisha; nani awezaye kuujua? Neno kufisha ni kitendo cha kusababisha kitu kiweze kufa, au kupoteza uhai wake.. Na hapo Maaandiko yanaposema moyo una ugonjwa wa kufisha, ina maana kuwa una ugonjwa wa kupelekea mauti, ni ugonjwa usiponyeka.. hi ikionyesha moyo una udanganyifu mbaya sana, moyo ..
Author : magdalena kessy
JIBU… Tukianza na maana tunayoifahamu..Kima ambaye ni mnyama jamii ya nyani, ila biblia imeelezea kwa utofauti kidogo.. Na maana halisi ya Neno kima kwenye biblia ni ni thamani ya kitu Katika Pesa, kwa mfano mzuri tunaweza kusema kima cha mchele ni 2000 ,ni kusema thamani ya mchele ni 2000 Na tunalipata hapa… Mithali 31:10[10]Mke mwema, ..
JIBU.. Tusome ili tupate kuelewa.. Mathayo 22:8-12[8]Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili. [9]Basi enendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini. [10]Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni. [11]Lakini alipoingia yule mfalme ili kuwatazama wageni wake, akaona mle mtu ..
JIbu.. Mithali 27:21 inaposema “Kalibu ni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake” Kalibu na tanuru ni maeneo ya moto ambapo madini ya shaba,dhahabu na fedha hupitishwa ili kutenganisha uchafu uliogandamana na madini hayo, na haijawahi kuonekana njia nyingine iliyoweza kufanya madini hayo yang’ae isipokuwa imepitishwa kwenye matanuru hayo makali ..
JIBU.. Mstari huu una maana mbili, Maana ya kwanza ni uhai kama ‘uhai’ alionao mwanadamu yoyote, Kwa tafsiri ni kuwa unapomwona mtu ambaye hana hatia amepangiwa njama za kufanyiwa kitendo chochote kibaya mfano kuuwawa na wewe upo Katika mazingira hayo na una uwezo wa kutoa msaada basi yakupasa ufanye hivyo haraka pasipo kusema kwamba mambo hayo ..
Tusome… Mithali 18:18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu. Upigaji wa kura ni njia iliyotumika kuleta suluhisho la jambo fulani, lililo hata Katika utata, ni njia pia iliyoweza kuchagua, viongozi, wamiliki na wenye mamlaka.. Wakati mwingine njia hii pia Mungu anairidhia ili kuleta majibu sahihi kulingana na jambo husika, ndo mana tukiangalia mfano wa ..
Tusome… Wimbo 8:6 “Nitie kama muhuri moyoni mwako, Kama muhuri juu ya mkono wako; Kwa maana upendo una nguvu kama mauti, Na wivu ni mkali kama ahera. Mwako wake ni mwako wa moto, Na miali yake ni MIALI YA YAHU”. Neno YAHU lina maana zaidi ya moja,ni jina lingine la YAHWE” ambalo ndilo “YEHOVA Kutoka ..
Mapepo ni roho au malaika walioasi mbinguni, walishindwa kuilinda Enzi yao mbinguni(Yuda 1: 6)wakaingia tamaa na kushawishiwa na Shetani (pia nae alikuwa ni malaika) na kutaka kuupindua ufalme wa Mungu lakini hawakufanikiwa wakafukuzwa. Hivyo mkuu wao anaewapa amri na kuwaongoza hawa mapepo ni Shetani yeye ndio pepo mkuu. Hivyo baada ya kuasi wakatupwa huku chini ..
Kongwa ni nira au kifungo cha shingoni ambacho kinatengenezwa kwa kutumia mti uliogawanyika sehemu mbili au mti uliochongwa unaoshikamanisha au kuunganisha vitu viwili katika sehemu moja. Mfano Ng’ombe wawili wanaofungwa pamoja shingoni kwenda kulima kwa kutumia pilau(jembe la ng’ombe la kulimia) Na pia hata kwa watu zamani walikuwa wakifungwa nayo katika kipindi cha biashara ya ..
Ukiwa kama mwamini mambo kama haya huna budi kujifunza na kuelewa ili yazidi kukuimarisha na kukujenga kiroho… Tukirudi kwenye swali letu linalosema Yesu alizaliwa wapi..Bwana Wetu Yesu Kristo alizaliwa katika Nchi/Taifa la ISRAELI, lililopo mashariki ya kati. Na mji aliozaliwa ni Bethlehemu ambao ulikuwa katika urithi wa kabila la YUDA… Mika 5:2 “Bali wewe, Bethlehemu ..