Author : Rehema Jonathan

Shalom. 1 Wakorintho 6:2-3 2 “Au hamjui ya kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Na ikiwa ulimwengu utahukumiwa na ninyi, je! Hamstahili kukata hukumu zilizo ndogo? 3 Hamjui ya kuwa mtawahukumu malaika, basi si zaidi sana mambo ya maisha haya?” Kwa sababu Yesu Kristo alitwaa jinsi ya mwili na si ya malaika Wala kiumbe chochote kingine, Watakatifu ..

Read more

Shalom. Kwanza tujue ya kwamba Ahadi za Mungu wetu zinaonekana katika matatizo au shida zetu. Hivyo shida zetu ameziruhusu ili tumwone yeye kwa vitendo, mfano tungeutafutaje wokovu angali hakuna dhambi?, tungejuaje ni mponyaji bila kuugua, tungejuaje Wingi wa Rehema zake bila kuanguka dhambini, tungejuaje haki yake bila sisi wenyewe kutokuwa na haki? Na mengine mengi ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Swali: JE dhambi zote ni sawa? Hakuna iliyo kubwa na ndogo? Yaani aliyeua na anayesengenya au kusema Uongo ni sawa? Jibu: turejee Maandiko yanasema Nini kuhusu Hilo Yakobo 2:10 “Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote. 11 Kwa ..

Read more

Shalom JE ipo tofauti Gani kati ya ‘Maasi’ na ‘Maovu’? Maovu ni yale mambo afanyayo mtu kinyume na Maagizo ya Mungu, nayo hutokana na Shetani (Mwovu, mathayo 5:37) mfano wa Maovu ni Uasherati, Ulawiti, Ufiraji, dhuluma, ibada za sanamu na yote yanayofanana na hayo. Maasi ni yale Maovu yanayofanywa na Watu waliomjua Mungu Kisha wakajitenga ..

Read more

Karibu tujifunze Maneno ya Uzima. Swali: Je! Mtu aliyeoa hujiongezea kibali zaidi mbele za Mungu kuliko ambaye bado hajaoa?! Kulingana na Andiko hili.. Mithali 18:22 Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Jibu: La! Si kweli kwamba kuoa ni kujiongezea kibali mbele za Mungu. Kibali mbele za Mungu hupatikana kwa njia moja ..

Read more

Shalom. Swali: Nini maana ya hakuna hekima Wala Ufahamu Wala shauri juu ya Bwana? Mithali 21:30 30 Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya BWANA. Jibu: tunaweza kulielezea kwa wepesi zaidi kama ” hakuna hekima Wala Uelewa/ufahamu au Shauri la kibinadamu linaloweza kusimama kinyume na Mungu”. Kama Maandiko yanavyosema katika Wakorintho 1 Wakorintho 3:19 ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Tofauti kati ya kuwa Mtakatifu (1petro 1:15-16) na kuwa mkamilifu (Mathayo 5:48) MTAKATIFU ni mtu msafi, aliyetakaswa, afanyaye matendo mema na asiye na mawaa. Biblia inatuasa tuwe watakatifu kama alivyo Baba yetu wa Mbinguni 1Petro 1:15 “bali kama yeye aliyewaita ALIVYO MTAKATIFU, ninyi nanyi iweni watakatifu katika ..

Read more

Shalom. Wakati Mtume Paulo akiwa kifungoni Rumi ndiyo aliandika waraka wa kwanza na wa pili kwa timotheo. Naye timotheo wakati anandika waraka alikuwa Efeso kipindi hicho kama Anavyosema mwenyewe Mtume Paulo 1Timotheo 1:3 “Kama vile nilivyokusihi ukae Efeso, nilipokuwa nikisafiri kwenda Makedonia, ili uwakataze wengine wasifundishe elimu nyingine;” Maranatha. Washirikishe na wengine habari hizi njema ..

Read more

Nakusalimu katika Jina la Yesu Kristo. Tukisoma Mwanzo 28:21 [21]”nami nikirudi kwa amani nyumbani kwa baba yangu, ndipo BWANA atakuwa Mungu wangu.” Katika sura hii tunaoneshwa ugumu wa safari ya Yakobo kuelekea Ugenini nchi ya Baba yake akimkimbia nduguye Esau. Sasa alipokuwa kule jangwani peke yake pasipo msaada, Wala mtu Wala kitu chochote ndipo anaweka ..

Read more

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo na libarikiwe. Epafrodito alikuwa ni miongoni mwa watendakazi wa makanisa ya huko filipi, na alijulikana kama Mhudumu wa mahitaji ya Mtume Paulo. tunaona ni upendo mkubwa kiasi gani kanisa la filipi linaonesha kwa mtume Paulo alipokuwa Rumi kifungoni. Lilimkumbuka kwa mahitaji Yake ya kifedha, Sasa ndipo anachaguliwa huyu epafrodito ..

Read more