Author : Yonas Kisambu

MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya kwanza) Shalom: Jina Tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Unafahamu madhara  ya ulevi kibiblia? Mbali na zile zinazojulikana na wataalamu wa afya, leo tutaangalia madhara ya ulevi hasa katika biblia ni zipi…karibu ufuatane nami katika somo hili naamini utajifunza kitu na kama wewe ni ..

Read more

MAANA NYINGINE YA CHACHU. Je! Unafahamu chachu ni nini?. Chachu kwa lugha ya sasa ni HAMIRA, na kwa kawaida ukiitazama hamira unaweza ukadhani ni unga Fulani hivi, lakini kiuhalisia ule si unga bali ni mkusanyiko wa wadudu wenye uhai kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa YEAST, hawa wanadudu ndio wanaofanya kazi ya kumengenya ule unga, na ..

Read more

Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; Isaya 42:20 “Unaona mambo mengi, lakini huyatii moyoni; masikio yake ya wazi, lakini hasikii.” Je! we ni miongoni mwa waonao mambo mengi, lakini huyatii moyoni? Neno la Mungu linasema.. Isaya 28:22 Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ..

Read more

Lakini nakujua, kuketi kwako, na kutoka kwako, na kuingia kwako; Isaya 37:28 “Lakini nakujua, kuketi kwako, na kutoka kwako, na kuingia kwako; NA GHADHABU YAKO ULIYONIGHADHIBIKIA.” Watu wengi huwa wanadhani wanapofanya maovu na huku hamna hatua yoyote inayochukuliwa na Mungu dhidi yao, wanafikiri au wanadhani labda Mungu hajui kinachoendelea juu ya maisha yao. Hivyo wanaendelea ..

Read more

UMCHUKUE MWANAO, MWANA WAKO WA PEKEE, UMPENDAYE. Shalom jina la Bwana wetu Yesu libarikiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kumtolea Mungu wetu vile vinavyotugharimu. Wengi wetu tunafahamu ile habari ya Ibrahimu baba yetu wa Imani..kumtoa Isaka mwanaye pekee kuwa sadaka ya kuteketezwa, Mungu alimwambia Ibrahimu.. Mwanzo 22:2 “Akasema, ..

Read more

MZAZI MRUDI MWANAO (Masomo yahusuyo malezi kwa watoto) Wewe kama mzazi/mlezi unawajibu wa kumlea mwanao katika njia ipasavyo kama biblia inavyotuambia (Mithali22:6) Usipomlea mtoto wako katika njia iliyobora na ukamwacha tu ajiamulie kila kitu ujue shetani atakusaidia kumlea na kumwongoza katika njia ya uharibifu, Katika biblia tunasoma habari moja ya kijana aliyeitwa Adonia..ambaye alikuwa miongoni ..

Read more

  JE! UMEUONA USO WA MUNGU? Jina la Bwana Yesu mwokozi wa ulimwengu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia, Neno la Mungu lililo taa ya miguu yetu, Na mwanga wa njia zetu (Zaburi 119:105). Leo kwa neema za Mungu tutajifunza maana halisi ya kuuona uso wa Mungu na umuhimu wake. Je! tunaweza tukauona uso wa Mungu? Mbona ..

Read more

NIMEOKOKA NAMPENDA YESU. Shalom: jina la Bwana Yesu libarikiwe. Karibu tuongeze ufahamu wa kumjua Mungu. Unaelewa maana halisi ya kuokoka na kumpenda Yesu? Katika  siku hizi za mwisho, Neno hili “kuokoka na kumpenda Yesu” au kukiri ukristo. Limekuwa likitumiwa kinyume na ukweli wa Neno lenyewe. Kwani kila mtu sasahivi ukimuuliza umeokoka? Moja kwa moja atakujibu ..

Read more

  MAMBO HAYO YAANZAPO KUTOKEA. Jina kuu tukufu..jina la Bwana Yesu Kristo Mfalme wa dunia yote na Mkuu wa Uzima libarikiwe. Karibu tuyatafakari maneno ya Uzima ya Bwana wetu Yesu Kristo. Leo kwa msaada wa Roho Mtakatifu nataka tutafakari kwa umakini kauli moja ambayo Bwana Yesu alisema kuhusu ujio wake wa mara ya pili. Bwana ..

Read more

Fahamu jambo moja ambalo Bwana anataka tu kwako? Ikiwa unafikiria kumrudia muumba wako, na unashindwa pa kuanzia. Yamkini unawaza kwamba umetenda dhambi nyingi sana, kiasi kwamba unahisi tayari umeshamkufuru Mungu, na unaona hata ukimrudia hautasamehewa kwa wingi wa dhambi ulizozifanya. Basi leo Bwana anasema nawe kwa neno hili.. Yeremia 3:13 “Ungama uovu wako tu; ya ..

Read more