AKAMLAZA KIJANA CHINI YA KIJITI KIMOJA. Jina kuu la Bwana Yesu Kristo mkuu wa mbingu na nchi libarikiwe milele na milele. Nakukaribisha tujifunze maneno ya uzima ya Bwana Yesu. Leo tutajifunza jambo moja katika ile habari ya Hajiri Mjakazi wa Sara ambaye tunamsoma katika kitabu cha mwanzo Sura ya 21. Ili kufupisha hiyo habari, kama ..
Category : Biblia kwa kina
UVUMILIVU NI NYENZO MUHIMU KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO. Safari yoyote ya mafanikio aidha mafanikio ya rohoni au ya mwilini inahitaji uvumilivu, bila uvumilivu mafanikio hayaji kiwepesi wepesi kama unavyotaka, hakuna bahati nasibu kwenye mafanikio ni kuwa mvumilivu, wakati mwingine utaona kama hayaji lakini ukiwa mvumilivu hakika utafanikiwa tu, Ibrahimu ambaye tunamjua kama Baba yetu wa ..
Je! Umevunjiwa Kongwa lako? Mambo ya Walawi 26:13 Mimi ndimi BWANA, Mungu wenu, niliyewaleta mtoke katika nchi ya Misri, ILI MSIWE WATUMWA WAO; NAMI NIMEIVUNJA MITI YA KONGWA LENU, nikawaendesha mwende sawasawa. Kongwa nini? Kongwa ni nira au kifungo cha shingoni ambacho kinatengenezwa kwa kutumia mti uliogawanyika sehemu mbili au mti uliochongwa unaoshikamanisha au kuunganisha ..
Nini tunajifunza kwa Tamari Tamari ni mwanamke ambaye tunamsoma katika agano la kale, alikuwa ni mkwewe Yuda mwana wa Yakobo. Mwanzo 38:1 Ikawa wakati ule, Yuda akashuka kutoka kwa ndugu zake, akamfikia mtu Mwadulami, jina lake Hira. 2 Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake. 3 Naye akapata mimba, ..
NUNUA SHAMBA LAKO IWE URITHI KWA WATOTO WAKO NA MAHALI PA KUZIKIA. Je! Unalo shamba la kuzikia? Mwanzo 23:3 Akaondoka Ibrahimu kutoka mbele ya maiti wake, akasema na wazawa wa Hethi, akinena, 4 Mimi ni mgeni, ninatembea kwenu; nipeni mahali pa kuzikia kwenu, pawe pangu, nimzike maiti wangu atoke mbele yangu. 5 Wazawa wa Hethi ..
BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA Jina la Bwana YESU Mfalme wa Wafalme na Mkuu wa Uzima libarikiwe daima. Karibu tujifunze Neno la Mungu ambalo ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Siku ya leo tutajifunza kwa ufupi kuhusu siri ya uasi iliyojificha ndani ya kanisa, na tunapozungumzia siri ya uasi tunalenga ile ..
MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya pili) Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu katika mwendelezo wa somo letu sehemu ya pili. Leo kwa neema za Mungu tutajifunza madhara ya ulevi ndani ya kanisa. Tunaposema ulevi ndani ya kanisa..hatulengi ule ulevi wa nje/mwilini kama tulivyoona katika sehemu ya kwanza bali tunalenga ulevi wa rohoni. ..
MADHARA YA ULEVI (Sehemu ya kwanza) Shalom: Jina Tukufu la Bwana Yesu libarikiwe milele. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Unafahamu madhara ya ulevi kibiblia? Mbali na zile zinazojulikana na wataalamu wa afya, leo tutaangalia madhara ya ulevi hasa katika biblia ni zipi…karibu ufuatane nami katika somo hili naamini utajifunza kitu na kama wewe ni ..
Namna ya kuvishinda vita vya kifikra. Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Vita vikubwa vya Shetani juu ya watoto wa Mungu si uchawi,uganga,nk lakini vita vikubwa Shetani anavyopigana na watoto wa Mungu na kuwadhoofisha kwa namna isiyokuwa ya kawaida na kuona hawafai tena mbele za Mungu basi ni ..
MAANA NYINGINE YA CHACHU. Je! Unafahamu chachu ni nini?. Chachu kwa lugha ya sasa ni HAMIRA, na kwa kawaida ukiitazama hamira unaweza ukadhani ni unga Fulani hivi, lakini kiuhalisia ule si unga bali ni mkusanyiko wa wadudu wenye uhai kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa YEAST, hawa wanadudu ndio wanaofanya kazi ya kumengenya ule unga, na ..