Category : Mafundisho ya awali ya wokovu

  KUBALI KUPITISHWA KATIKA MOTO UWE SAFI. Hesabu 31:23 kila kitu kiwezacho kuuhimili moto, MTAKIPITISHA KATIKA MOTO, NACHO KITAKUWA SAFI, pamoja na haya kitatakaswa kwa hayo maji ya farakano; na kila kitu kisichouhimili moto mtakipitisha katika hayo maji. Unapozaliwa mara ya pili kwa kumwamini Yesu Kristo na ukatubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha kabisa kisha ukabatizwa ..

Read more

Vitu vitatu ambavyo unapaswa kufanya mara tu baada ya kuokoka ili ufikilie utakatifu. Nakusalimu katika jina la Mwokozi YESU KRISTO Mfalme wa wafalme na Bwana wa Mabwana. Kama kijana, mzee na mtu yoyote uliyemwamini Yesu Kristo na kukubali kumfuata, vipo vitu vitatu ambavyo ni lazima uvifanye ili uweze kufikilia utakatifu. Kwanini utakatifu? Ni kwasababu pasipo ..

Read more

SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Shalom wapendwa ..

Read more