Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Ni Thawabu gani haswa ilikuwa ikizungumziwa hapo?. Tukianza kusoma Mathayo 10:41 kwa makini na ule Mstari wa 41. Tutapata Thawabu haswa iliyokuwa inazungumziwa hapo ni ipi?. Mathayo 10:41″Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, ..
Category : Maswali ya Biblia
Shalom!, Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo. Katika Maandiko/Biblia mahali pengine unapokuta mahali Neno limeandikwa “Karama” si wakati wote maana yake inabakia kuwa vilele tu la!, maana karama kwa maana nyingine ni “Zawadi” Ukisoma walaka wa Mtume Paulo kwa Warumi Kuna mahali anasema “….Bali Karama ya Mungu ni uzima wa milele..” Sasa je ..
Kupatiliza lina maana ya kupiga/kuadhibu, mfano mzuri tunaweza kusema mtu huyu amepigwa na Mungu ni sawa na kusema mtu huyu amepatilizwa na Mungu.. Jambo la kujiuliza je Mungu anapiga watu (anapatiliza)? Jibu la uhakika ni ndio, Mungu Anatoa adhabu, anapatiliza waovu, na wema kama ikiwa watapita kinyume na njia zake.. Kusudi la Mungu kutuadhibu ni ..
Mithali 30:32-33[32]Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako. [33]Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika kuchochea hasira hutokeza ug omvi. Maandiko yanatupa kuelewa kwamba kila tendo lolote linalofanyika kwa uzuri au ubaya,basi fahamu tu litaleta majibu tu.. Hapo ametumia mfano ..
Choyo ni kitendo cha mtu kuwa na tamaa kubwa, mfano tamaa ya mali, uongozi, au chakula, na hii mara nyingi huambatana na ubinafsi, yaani umimi na kutumia vitu Kwa pupa ilimradi tu kumyima au kuwanyima watu wengine wasipate. Mithali 21:26 “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi”. Tabia hii si ..
Warumi 12:5-8[5]Vivyo hivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na viungo, kila mmoja kwa mwenzake. [6]Basi kwa kuwa tuna karama zilizo mbalimbali, kwa kadiri ya neema mliyopewa; ikiwa unabii, tutoe unabii kwa kadiri ya imani; [7]ikiwa huduma, tuwemo katika huduma yetu; mwenye kufundisha, katika kufundisha kwake; [8]mwenye kuonya, katika kuonya kwake; mwenye ..
Yakobo 5:9[9]Ndugu, msinung’unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango. Maandiko hayatupi nafasi ya sisi kuwa watu wa kunung’unika Kwa namna yoyote ile,hata kwa kuonewa, kudhulumiwa au kuaibishwa kwa namna yoyote,hatupaswi kuwa watu wa manung’uniko, kwasababu kuwa mtu wa hivyo kunakufanya kutokuwa na roho ya uvumilivu ndani yako na kumfanya Mungu ashindwe kuwa mvumilivu ..
Andiko hili linazidi kuonyesha hatari ya kazi za mikono zinazotendwa jinsi zilivyo, ametumia mwenye kuchonga mawe kwasababu wajenzi wa zamani iliwapasa kwenda kwenye miamba ili kuchonga mawe kwa ajili ya ujenzi wa majengo yao, na walikutana na hatari nyingi ikiwemo kuangukiwa na mawe na kuwaharibu viungo pamoja na vifaa vyao vya ujenzi kuwajeruhi, Hivyo pia ..
mithali 27:6 Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana. ” Ukisoma kwa makini kifungu hicho, rafiki aliye kuwa anazungumziwa hapo si rafiki mnafiki Bali rafiki wa kweli mwenye upendo wa dhati Kwa mwenzake, Sasa hapo aliposema jeraha atiwazo na rafiki ni amini, ni kwamba ikiwa huyo rafiki yako atakwambia ..
Mithali 16:30[30]Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya. Andiko hilo halina maana kuwa kufumba macho kunapelekea mtu kuwaza yaliyopotoka, sivyo, kwasababu ikiwa itamaanisha hivyo, vipo vinavyofanyika , kwa mfano tunapoomba kwa kufumba macho basi ingekuwa tunafanya makosa.. Hekima inapokuwa ndani ya mtu inampelekea kuona aibu hata kufumba macho yake wakati ..