Category : Maswali ya Biblia

Bwana Yesu  kuna jambo alilikusudia hapa  lifahamike na  ndio maana  akatoa mfano huo katika  kitabu cha Mathayo 5:15, lakini kabla ya kuendelea mbele embu tutazame kwanza nini maana ya maneno hayo, Kiango na Pishi KIANGO Kiango ni kifaa maalumu kinachotumika kushikilia  au kuning’inzia taa  kwa jina lingine kinaitwa kinara, na kifaa hiki huwa lazima kikae ..

Read more

Nakukaribisha tujifunze Maneno ya Uzima ya Bwana Yesu… Upole ni ile hali ya kutokuonyesha uharibifu kwa mtu au kwa viumbe, na upole umeenda mbele Zaidi pale ambapo unakuwa na uwezo wa kuonyesha madhara fulani kwa mtu lakini hutumii nafasi hiyo kumdhuru.. Mfano mzuri tumtofautishe nyoka na Ngamia.. Nyoka ni kiumbe chenye udhaifu kisichokuwa na uwezo ..

Read more

Je! Biblia ni nini? Biblia ni neno lililotoholewa katika lugha ya kigiriki lenye maana ya “mkusanyiko wa vitabu vitakatifu”. Na pale kinapokuwa kimoja huitwa ‘Biblioni’ Na katika biblia hii ambayo ni vitabu vitakatifu ina jumla ya  mkusanyiko wa vitabu 66 na ndani ya vitabu hivi vimegawanyika makundi mawili ambayo ni Agano la kale na Agano ..

Read more

Kuzumbua maana yake ni kuwa na uwezo kupata kitu Fulani, hususani kile Cha lazima. Kwamfano Unaweza kusema; Namshkuru Mungu nimezumbua kile kitambulisho changu kilichopotea siku nyingi. Maana yake nimekipata kitambulisho changu. Neno hilo utalisoma katika vifungu hivi kwenye biblia Mambo ya Walawi 6:1-7 [1]BWANA akanena na Musa, na kumwambia, [2]Mtu awaye yote akifanya dhambi, na ..

Read more