Category : Maswali ya Biblia

Mwezi wa Abibu ni mwezi gani?

Mwezi wa Abibu. Mwezi wa Abibu ni mwezi wa kwanza kwa Wayahudi, ambao kwetu sisi tunaotumia Kalenda ya ki-Gregory, huangukia katikati ya mwezi wa tatu (3) au Mwezi wanne (4) mwanzoni, kulingana na mwaka na mwaka. Mwezi huu ulikuwa ni muhimu sana, kwa Wayahudi kwasababu kwanza ndio ulikuwa mwezi wao wa kutoka katika nchi ya ..

Read more

Konzi ni neno la vipimo linalomaanisha ujazo wa mkono. Kitu chochote kinachojaa katika mkono ni konzi.. Utalipata Neno hilo katika vifungu hivi; Mhubiri 4:6[6]Heri konzi moja pamoja na utulivu,Kuliko konzi mbili pamoja na taabu;na kujilisha upepo. Soma pia. Isaya 40:12, Kutoka 9:8, Ezekieli 13:19, Walawi 2:2. Kwamfano katika habari hiyo, Bwana anatushauri ni heri tupokee ..

Read more

Neno Daawa linamaana gani kibiblia?

Hili ni Neno linalomaanisha mashitaka, au malalamiko, ambayo lengo lake ni kufikishwa mbele ya mahakama ili kutolewa hukumu. Kwamfano, pale mfanyakazi wako, amekuibia, au amekutukana, au amekuharibia mali zako na wewe unataka kumpeleka mahakamani kwa tendo hilo, ili awajibishwe. Sasa hilo shitaka ambalo unampelekea mahakamani kwa jina lingine ndio linaloitwa Daawa. Neno hili katika agano ..

Read more