Archives : April-2024

Kupatiliza lina maana ya kupiga/kuadhibu, mfano mzuri tunaweza kusema mtu huyu amepigwa na Mungu ni sawa na kusema mtu huyu amepatilizwa na Mungu.. Jambo la kujiuliza je Mungu anapiga watu (anapatiliza)? Jibu la uhakika ni ndio, Mungu Anatoa adhabu, anapatiliza waovu, na wema kama ikiwa watapita kinyume na njia zake.. Kusudi la Mungu kutuadhibu ni ..

Read more

Mithali 30:32-33[32]Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako. [33]Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika kuchochea hasira hutokeza ug omvi. Maandiko yanatupa kuelewa kwamba kila tendo lolote linalofanyika kwa uzuri au ubaya,basi fahamu tu litaleta majibu tu.. Hapo ametumia mfano ..

Read more

Choyo ni kitendo cha mtu kuwa na tamaa kubwa, mfano tamaa ya mali, uongozi, au chakula, na hii mara nyingi huambatana na ubinafsi, yaani umimi na kutumia vitu Kwa pupa ilimradi tu kumyima au kuwanyima watu wengine wasipate. Mithali 21:26 “Kuna atamaniye kwa choyo mchana kutwa; Bali mwenye haki hutoa wala hanyimi”. Tabia hii si ..

Read more

Yakobo 5:9[9]Ndugu, msinung’unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango. Maandiko hayatupi nafasi ya sisi kuwa watu wa kunung’unika Kwa namna yoyote ile,hata kwa kuonewa, kudhulumiwa au kuaibishwa kwa namna yoyote,hatupaswi kuwa watu wa manung’uniko, kwasababu kuwa mtu wa hivyo kunakufanya kutokuwa na roho ya uvumilivu ndani yako na kumfanya Mungu ashindwe kuwa mvumilivu ..

Read more

Mithali 16:30[30]Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya. Andiko hilo halina maana kuwa kufumba macho kunapelekea mtu kuwaza yaliyopotoka, sivyo, kwasababu ikiwa itamaanisha hivyo, vipo vinavyofanyika , kwa mfano tunapoomba kwa kufumba macho basi ingekuwa tunafanya makosa.. Hekima inapokuwa ndani ya mtu inampelekea kuona aibu hata kufumba macho yake wakati ..

Read more