Archives : May-2024

Adhama maana yake ni ‘uzuri wa hali ya juu sana’. Uzuri huu wa hali ya juu upo kwa Bwana Yesu peke yake, hakuna mtu wala kiumbe chochote chenye uzuri wa hali ya juu kama alivyo Bwana Yesu Kuna vifungu kadhaa katika Biblia vinavyozungumzia neno hili, ‘adhama’. Zaburi 104:1[1]Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.Wewe, BWANA, Mungu wangu,Umejifanya ..

Read more

Bwana Yesu asifiwe, karibu tena tujifunze Neno la Mungu kama maandiko matakatifu yanavyosema katika zaburi 119:105 Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. Kuligana na swali letu ili tuweze kuelewa zaidi tusome kwanza kifungu hiki Ufunuo 21:8 “BALI WAOGA, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na ..

Read more

Neno KUHUTUBU chanzo chake ni HOTUBA , Hotuba ni maneno yaliyoandaliwa na mtu kwa ajili ya kuyazungumza mbele ya mkutano au kusanyiko la watu. Kitendo cha kutoa hotuba ndicho kinajulikana kama KUHUTUBU. Maneno ya hotuba yanaweza kuwa ya kimaendeleo au ya kimkakati. Kuna tofaut kubwa ya kuhutubu kawaida na kuhutubu kibiblia , watu wa ulimwengu ..

Read more

Ukisoma katika kitabu cha yoshua watu hawa wametajwa Yoshua 15:13 [13]Kisha alimpa huyo Kalebu mwana wa Yefune sehemu kati ya wana wa Yuda, kama BWANA alivyomwamuru Yoshua, maana ni Kiriath-arba, ni huyo Arba aliyekuwa babaye Anaki (huo ndio Hebroni). Waanaki walikuwa jamii ya watu warefu na wakubwa waliotoka  katika uzao wa mtu mmoja  anayeitwa  anaki ..

Read more

Kipindi Bwana Yesu yupo hapa duniani kulikuwa na madhehebu mawili tu katika uyahudi ambayo yalikuwa Mafarisayo na Masadukayo Matendo 5:17 “Akaondoka Kuhani Mkuu na wote waliokuwa pamoja naye, (hao ndio walio wa madhehebu ya Masadukayo), wamejaa wivu,” Tukisoma na matendo 15 inawaelezea Mafarisayo tusome Matendo 15:5 “Lakini baadhi ya madhehebu ya Mafarisayo walioamini wakasimama wakisema, ..

Read more

Kuhadaa ni neno lenye maana ya kudanganya au kulaghai, kuhadaa ni kutumia njia ya mkato au isiyo sahihi ili kuweza kufanikisha jambo fulani au kulipata.. Tunaliona neno hili kwenye baadhi ya vifungu.. Mwanzo 31:20[20]Yakobo akamhadaa Labani, Mshami, kwa kuwa hakumwambia ya kwamba anakimbia. Mithali 12:5[5]Mawazo ya mwenye haki ni adili; Bali mashauri ya mtu mwovu ..

Read more

Kwa jamii nyingi za watu wa zamani walikuwa na imani kuwa mtu akikutazama au kukuangalia kwa macho yake basi inaweza kukuletea madhara au laana juu yako, ikiwa amekusudia au hajakusudia kufanya hivyo, Imani hii hata kwa wakati huu ipo kwa jamii na watu wengi,wakiendelea kuamini kwamba kupitia jicho la mtu anaweza kukuloga, au kupitia jicho ..

Read more