Archives : April-2025

  USIVAE MAVAZI YA KIGENI Sefania 1:8 “Na itakuwa, katika siku ile ya dhabihu ya BWANA, nitawaadhibu wakuu, na wana wa mfalme, na watu wote waliovaa MAVAZI YA KIGENI.” Katika ukiristo mavazi ya kigeni ni yapi? Neno la Mungu linasema.. Mathayo12:33 “Ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake kuwa mazuri; au ufanyeni mti kuwa mbaya ..

Read more

Amka utoke katika upofu wa Kiroho. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Mtume Paulo anawaandikia watakatifu waliokuwa Thesalonike maneno haya.. 1 Wathesalonike 5 5 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa nuru, na wana wa mchana; sisi si wa usiku, wala wa giza. 6 Basi tusilale usingizi kama wengine, ..

Read more

Kuna umuhimu wowote wa kunena kwa Luga?. Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe Karibu tuyatafakari meneno ya uzima. Nini maana ya kunena kwa Lugha?. Ni kuongea au kuomba kwa Lugha ya kipekee ya rohoni, ambayo haieleweki kwa akili ya kawaida . Lugha hii si Lugha ya kawaida ya binadamu bali ni Lugha ya Rohoni ..

Read more

Shukuruni kwa kila jambo Nakusalimu katika Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima.! Umewahi kufikiri kwa ni nini Maandiko yanatutaka tushukuru kwa kila jambo? Ni jambo ambalo si jepesi haswa pale unapopitia katika magumu si rahisi kushukuru kwa ajili ya hayo magumu. Ni rahisi kumshukuru Mungu katika mazuri tu lakini katika ..

Read more

Jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo lihimidiwe milele yote karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Ipo tofauti kubwa kati ya mtu ambae amekua kiroho na ana karama za rohoni na mtu ambae anakarama za rohoni lakini ni mchanga katika roho yaani hajakua bado. Ni jambo ambalo linawachanganya Wakristo wengi wanashindwa kuelewa badala yake wanapoona mtu anafanya ..

Read more