Archives : June-2025

ENDELEA MBELE USITAZAME NYUMA Nakusalimu katika jina tukufu la Bwana Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya Mungu. Na siku ya leo tutajifunza umuhimu wa kuendelea mbele katika safari ya imani. Bila shaka safari ya imani ni safari ndefu yenye milima na mabonde kama ilivyo kwa safari zingine za haya maisha. Lakini pamoja na hayo, ipo ..

Read more

BASI, JIANGALIENI MIOYO YENU ISIJE IKALEMEWA Luka 21:36 Basi, jiangalieni, mioyo yenu isije ikalemewa na ulafi, na ulevi, na masumbufu ya maisha haya; siku ile ikawajia ghafula, kama mtego unasavyo; Shalom, Jina kuu la mwokozi wetu Yesu libarikiwe daima. Je! Umewahi kuitafakari kwa utulivu hii kauli ya Bwana aliposema ”jiangalieni mioyo yenu isije ikalemewa”, yapo ..

Read more

NA TUMWEKE MTU MMOJA AWE AKIDA, TUKARUDI MISRI Jina la Mwokozi Yesu, libarikiwe. Karibu tujifunze maandiko, Neno la Mungu wetu ambalo ndio taa iongozayo miguu yetu, na Mwanga wa njia yetu (Zab.119:105). Safari ya wana wa Israeli ni funzo tosha, kwetu sisi tunaosafiri kutoka katika ulimwengu kwenda Kaanani yetu (yaani mbinguni). Hivyo tukijifunza kwa undani, ..

Read more

JIWE LILILO HAI Jiwe lililo hai ni lipi? Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu. Karibu tujifunze biblia…Neno la Mungu wetu lililo Taa na Mwanga wa njia zetu (Zab 119:105) Kwa kawaida hakuna jiwe lililo na uhai kwa asili yake … maana halina uhai ndani yake (non-living) ila lipo jiwe moja ambalo linatajwa katika biblia ambalo ..

Read more

Je! umeweka kweli nia kumtafuta Bwana. Kama we ni msomaji wa biblia utafahamu kuwa kuna kipindi Israeli iligawanyika na kuwa na pande mbili yaani upande wa kaskazini ambako kulikuwepo na yale makabila 10 chini ya Yeroboamu na lile la Yuda na Benjamini ambalo lilikuwepo upande wa kusini chini ya Rehoboamu, leo hatutazungumzia kwa urefu kuhusu ..

Read more

Shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo tu! Ayubu 20:4 Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi, [5]Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu? Jambo ambalo watu wengi huwa hawajui ni kwamba uhai ni zawadi toka kwa Mungu, ..

Read more

Nuhu aliuhukumu je ulimwengu? Shalom nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo Karibu tuyatafakari maneno ya uzima. Maandiko yanasema kuwa Nuhu aliuhukumu ulimwengu makosa, je Nuhu alikaa katika kiti cha enzi na kuanza kuuhukumu ulimwengu? Waebrania 11:7 “Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, ..

Read more

Mtu akiipenda dunia kumpenda Baba hakumo ndani yake. Nakusalimu katika jina la Mwokozi wetu Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima.   Tofauti na inavyodhaniwa na watu wengi kuwa mstari huu unawazungumzia Watu ambao hawajaokoka, la! Mstari huu ni mahususi kabisa na kwa watu ambao tayari wameshamwamini Yesu Kristo. Walaka huu unamhusu Mkristo yeyote ulimwenguni ..

Read more

ILE SAFINA IKAELEA JUU YA USO WA MAJI. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Je! Umewahi kutafakari ni kwanini ile safina ya Nuhu ambayo ilikuwa imebeba wanyama mbali mbali haikuzama japokuwa walikuwepo wanyama wazito kama tembo, twiga, ngamia n.k, ? Maandiko yanasema ile safina ikaelea juu ya uso wa maji. ..

Read more