Archives : July-2026

MTU AKINITUMIKIA NA ANIFUATE Yohana 12:26 “Mtu akinitumikia, na anifuate; nami nilipo, ndipo na mtumishi wangu atakapokuwapo. Tena mtu akinitumikia, Baba atamheshimu”. Nakusalimu katika jina kuu lipitalo majina yote mbinguni na duniani, jina la YESU KRISTO WA NAZARETHI. Karibu tujifunze maneno yake ya uzima. Watu wengi wanataka kumtumikia Bwana Yesu, lakini hawataki kumfuata. Wanataka wamtumikie ..

Read more

JE UNAJUA NI NINI KITATOKEA MUDA MFUPI BAADA YA UNYAKUO? Bwana Yesu Kristo asifiwe. Karibu tujikumbushe mambo ya msingi yatupasayo kufahamu katika nyakati hizi za hatari.. Baada ya Unyakuo kupita maisha yataendelea kama kawaida, lakini kutasikika tetesi tesi kuwa kuna watu wanaripotiwa kupotea katika mazingira yakutatanisha. Hakutakuwa na furugu kama inavyojulikana na wengi kuwa unyakuo ..

Read more

JE! UNYAKUO UTAKUWA NI WA SIRI KWA WATU WOTE? Bwana Yesu Kristo asifiwe wateule wa Mungu. Karibu tujifunze maneno matukufu ya Mungu. Ni kweli unyakuo utakuja ghafla kwa watu wengi, lakini kwa wateule wa Mungu (watakatifu) haitakuwa ghafula, bali watakuwa wanafahamu majira na nyakati hatua kwa hatua, Kama haufahamu Biblia ilishatupa mwangaza juu ya suala ..

Read more

  “ AKAMWAMBIA, ANGALIA, UMEKUWA MZIMA; USITENDE DHAMBI TENA, LISIJE LIKAKUPATA JAMBO LILILO BAYA ZAIDI . Shalom nakusalimu katika jina la Yesu Kristo karibu tuyatafakari maneno ya uzima ya mwokozi wetu Yesu Kristo. Kwa nini Bwana Yesu sehemu nyingi alizokuwa akiwaponya watu alikuwa akiwaambia wasitende dhambi tena? Na kama wakitenda basi kuna jambo baya zaidi ..

Read more

FAHAMU MADHAIFU ANAYOYATAMBUA MUNGU KWETU. Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Mambo mengi yanayoendelea katika ulimwengu wa mwili ni ufunuo wa mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa roho..Uhusiano wa Baba na mtoto..ni ufunuo wa Uhusiano wa Baba yetu wa mbinguni na sisi watoto wake tuliopo hapa duniani…Kama Baba mzazi asivyoweza kumdharau mwanawe hata kama afanye jambo ..

Read more