Shalom, tunamshukuru Bwana kwa siku nyingine tena aliyotupa.. Wengi wetu tumekuwa tukiomba sana , wengine wameenda mbali zaidi wakiisindikiza maombi yao kwa mifungo ya siku hata mwezi, jambo ambalo ni jema sana na lapendeza sana mbele za Mungu, kwasababu maandiko yametutaka tuombe bila kukata tamaa, (luka 18:1) Lakini leo natamani tujifunze Jambo lingine ambalo Katika ..
Author : magdalena kessy
Bwana Yesu asifiwe milele yote, karibu tuyatafakari Maneno yake.. Usalama wa maisha ya mtoto yapo kwa Mungu lakini pia yapo kwa mzazi, ni jukumu la mzazi kuyajali na kuyathamini maisha ya mtoto hata kabla hajazaliwa mpaka anakuja kufikia hatua ya kuwa mtu mzima, jukumu la kumwangalia na kumjali lipo juu yako pia, na sio la ..
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu.. Upo umuhimu mkubwa wa wewe mzazi au mlezi kumlea mtoto wako Katika njia inayompasa, kwasababu hataicha kabisa, ndivyo maandiko yanavyotujuza,na Neno la Mungu halisemi uongo,ina maana malezi unayomlea Mtoto wako saivi, yale ya kumpenda Mungu na kuzishika sheria za Mungu, na kumfundisha kuenenda Katika njia zake, fahamu kabisa matunda ..
Jina Bwana Yesu libarikiwe milele, karibu tujifunze Neno lake.. hili ni fundisho maalumu linalomuhusu mzazi au mlezi, kama upo kwenye nafasi yoyote ya kulea basi zingatia haya, Kitu pekee na kikubwa na cha kuzingatia wewe uliye Katika nafasi ya ulezi ni MAOMBI, Maombi ni silaha kubwa inayoweza kuangamiza mishale yote ya adui shetani, na Maombi ..
Jina la Bwana Yesu Mfalme wa Wafalme na Bwana wa Mabwana libarikiwe daima. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Siku ya leo kwa Neema za Mungu tutazidi kuongeza maarifa ya Neno la Mungu tusije tukachukuliwa na udanganyifu wa yule mwovu katika siku hizi za mwisho ambayo udanganyifu umekuwa mwingi sana. Ukisoma kile kitabu cha ufunuo sura ..
Shalom, karibu tuongeze maarifa ya kumjua Mungu wetu, Na leo kwa Neema za Bwana tutaangazia jinsi gani tunaweza kuwabariki watoto wetu, na kujua ni kanuni ipi tutaitumia ili tuzifikishe kwa Watoto, tofauti na inavyodhaniwa kuwa kumtamkia baraka kwa vinywa vyetu inatosha, ni sawa kufanya hivyo lakini leo tutaenda mbali zaidi, Wewe kama mzazi au mlezi ..
Shalom, Jina la Bwana Yesu lisifiwe milele Kwa Neema za Bwana tutaangazia ni sifa gani alizonazo mtu ambaye amekombolewa kwenye mikono ya adui shetani, na kwa kujifunza hayo basi utaongeza maarifa zaidi.. Maandiko yanasema, Marko 5:1-5,8-9,13-16 [1]Wakafika ng’ambo ya bahari mpaka nchi ya Wagerasi. [2]Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, ..
Karibu tujifunze Neno la Mungu, Tunapozungumzia nafsi tunamzungumzia mtu mwenyewe, kwahiyo badala ya kusema “Tambua thamani ya nafsi yako” tunaweza tukasema TAMBUA THAMANI YAKO!. Watu wengi leo wanatoa maisha yao bure kwa mambo yasiyo na maana, wanauza nafsi zao bure kwa mambo ya ulimwengu huu, kwasababu ya tamaa za miili yao, tamaa za fedha, mali ..
Shalom mtu wa Mungu.Jina la Bwana libarikiwe. Karibu tujifunze maneno ya uzima. Ayabu 1:6 “Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za BWANA, Shetani naye akaenda kati yao. 7 BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, NATOKA KATIKA KUZUNGUKA-ZUNGUKA DUNIANI, NA KATIKA KUTEMBEA HUKU NA ..
Shalom, karibu tujifunze Neno la Mungu, ambalo ndilo Uzima wetu, Wewe kama mwamini, umeokoka kwa kumpokea Bwana Yesu maishani mwako, una kila sababu za kuhakikishia usalama wa wokovu wako, isifike mahali ukaridhika tu kisa umemkiri Yesu kwa kinywa chako, au kwasababu umesamehewa dhambi zako, hapana bali unatakiwa ujae maarifa zaidi ya hapo, kwa kuwa wokovu ..