Neno IKABODI tafsiri yake ni “Utukufu umeondoka” Jina hili alipewa mtoto wa Finehasi na mke wake wakati anajifungua, baada ya kupata taarifa mumewe amekufa katika vita, pia sanduku la agano limechukuliwa na wafilisti na yeye mkewe wa Finehasi anakaribia kufa ndipo akampa mtoto huyo jina la IKABODI, akiwa na maana utufuku wa Mungu umeondoka katika ..
Author : magdalena kessy
Toba ni neno lenye maana ya KUTUBU , unapofanya toba Moja kwa moja unaonekana umetubu,na ndo mana utaona neno kutubu lina maana ya kugeuka, unageuka Katika njia uliyokuwa ukiiendea..kwa mfano unapouendea mwenendo ambao sio mwema na kufikia hatua ya kugeuka Katika njia hiyo basi hapo unaonekana umetubu, au umefanya toba.. Kulingana na Maaandiko, mtu aliyeamua ..
2 Petro 1:3 Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe 4 Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa. Ni ile ..
Shinikizo ni sehemu ya shimo au kisima kilichotengenezwa Mahususi kwa ajili ya kukamulia zabibu…Jinsi zabibu zinavyokamuliwa leo ni tofauti na kipindi cha zamani, kwa kipindi cha sasa tunaona ni mashine ndizo zinazotumika kukamua juisi yake.. Na walichokuwa wanakifanya baada ya kuchimba na kutengeneza kisima hicho , waliziweka zabibu ndani ya kisima na kisha wanaume huingia ..
Shalom… Huu ni aina ya mmea ambao haupatikani kirahisi sana, na tabia nyingine ya mmea huu, unakuwa na maumbile kama ya mtu, Na maumbile ya mzizi wa mmea huu hufanana na maumbile ya mwili wa mwanadamu, ndo mana ilifika wakati hata watu wazamani hata sasa baadhi yao, huwa na imani kuwa mmea huu una nguvu ..
Thenashara ni neno la kiebrania linalomaanisha, namba kumi na mbili” badala ya kusema watu kumi na 12 unaweza kusema watu tenashara , au kusema miezi kumi na 12, ukasema miez tenashara, makabila kumi na 12 ni sawa na kusema makabila tenashara “‘ n.k’ Biblia imelitumia Neno hilo Thenashara kuwakilisha wale Wanafunzi 12 wa Bwana Yesu, ..
Jibu: Tusome, Luka 12:24 “Watafakarini kunguru, ya kwamba hawapandi wala hawavuni; hawana GHALA wala UCHAGA, na Mungu huwalisha. Bora ninyi mara nyingi kuliko ndege!” Uchaga” ni jengo kubwa lililotengenezwa kwaajili ya kuhifadhia nafaka pamoja na aina nyingine ya vyakula vya mifugo na binadamu, tofauti na “ghala….ghala ni chumba/nyumba ndogo ya kuhifadhia nafaka, lakini.. Bwana Yesu aliposema, tuwatafakari kunguru, kwamba ..
Jibu: Tusome, Marko 4:35 “Siku ile kulipokuwa jioni, akawaambia, Na tuvuke mpaka ng’ambo. 36 Wakauacha mkutano, wakamchukua vile vile alivyo katika chombo. Na vyombo vingine vilikuwako pamoja naye 37 Ikatokea dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakakipiga chombo hata kikaanza kujaa maji. 38 Naye mwenyewe alikuwapo katika SHETRI, amelala JUU YA MTO; wakamwamsha, wakamwambia, Mwalimu, si kitu ..
Maana kamili ya “kupiga Kite” ni kutoa pumzi nje, hii huashiria aidha kushangazwa, kupata unafuu au kukata tamaa. Kwamfano mwanafunzi aliyekuwa anangojea matokeo ya mtihani alioufanya, na wakati anatazama matokeo kwenye orodha ya majina anafanikiwa kuona jina lake katika nafasi za waliofaulu na anajikuta amefaulu basi unaweza kuona anashusha pumzi. (Kitendo hicho cha kushusha pumzi, ..
Neno Mtima”ni neno linalowakilisha aidha “nafsi ya mtu” au “roho ya mtu” Kwa mtu anayeugua rohoni ni sawa na kusema “anaugua katika mtima wake”.. mtu aliyeumizwa nafsini mwake ni sawa na kusema “kaumizwa katika mtima wake”.. hivyo mtima ni neno linalowakailisha Roho au nafsi ya mtu.. Neno hili Mtima limeonekana sehemu mbalimbali Katika Maaandiko… Ayubu 19:27 “Nami ..