MIIMO ni nguzo mbili za mlango upande wa kulia na wa kushoto wa mlango, kama tunavyosoma katika kisa cha Samsoni akichomoa malango ya Wafilisti. Unaweza somo vifungu hivi, Kumbukumbu la Torati 6:9, 1 Wafalme 6:33, na Isaya 57:8. Waamuzi 16:3 “Basi Samsoni akalala hata usiku wa manane, akaondoka katikati ya usiku, akaishika milango ya lango ..
Author : Rehema Jonathan
Masihi ni neno ambalo asili yake ni neno la kiebrania, linalomaanisha MPAKWA MAFUTA. au Mtu aliyeteuliwa na Mungu Kwa kusudi fulani alijukikana kama masihi. Katika kipindi cha agano la kale watu ambao Mungu aliwateuwa kuwa wafalme au manabii walijulikana kama Masihi, yaani wapakwa mafuta wa Bwana Maana nyingine masihi inamaanisha Kristo, kwahiyo basi MPAKWA MAFUTA, ..
Ramli ni elimu ya ufalme wa giza, ambayo waganga, wachawi na wenye mapepo ya utambuzi huwa wanatumia katika kutabiri mambo yajayo, basi mtu yeyote anayetumia njia hiyo au elimu hiyo kutabiri mambo yajayo, mtu huyo anajulikana kama mpiga ramli na huwa wanatumia viganja vya mikono au viungo vya wanyama kupiga ramli zao. ili kutabiri jambo ..
Neno hili kujuza maana ya yake ni kutoruhusiwa 3 Nami namjua mtu huyo, (kwamba alikuwa katika mwili sijui; kwamba alikuwa nje ya mwili sijui; Mungu ajua 4 ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene” Hivyo hapo tunaona mitume Paulo, akieleza katika Maono yake jinsi alivyopelekwa juu mbingu ya tatu, lakini ..
Kuhusuru ni kitendo cha kuzingira kitu pande zote, kisiwe na mpenyo wa kutoroka au kupita Na mbinu hizi mara nyingi zilitumika katika kipindi cha agano la kale, majeshi ya zamani wakati wa vita, walikuwa wana hususuru kwanza (kuzingira) maadui zao kabla hawajapigana ili wakose mpenyo au nafasi ya kuweza kutoka, na hii ilikuwa inachukua hata ..
Shalom!. Mwandamo wa mwezi(mwezi mpya) kijiografia katika kipindi hiki mwezi unakuwa katikati ya Dunia na Jua. Nusu ya mwezi inakuwa haipati mwanga wa jua. Sasa katika Agano la Kale mwezi mpya unapoanza yaani siku ya kwanza ya mwezi kwa Wayahudi ilikuwa ni siku Takatifu ambayo Bwana aliagiza hivyo kwa wana wa Israeli na kuna mambo ..
Nyamafu ni mnyama aliekufa bila kuchinjwa au aliekufa kwa kularuliwa na mnyama mwingine(kama simba kumlarua nyati.) Yaani kitu chochote Chenye uhai kilichokufa kibudu bila kuchinjwa. Katika Agano la Kale Mungu aliwakataza wana wa Israeli kula nyamafu, yaani wasile mnyama wana aina yoyote aliekufa bila kuchinjwa maana wakifanya hivyo watajitia unajisi mbele za Mungu. Walawi 17: ..
Bwana wetu Yesu Kristo atukuzwe,Karibu katika kujifunza maneno ya uzima Gombo ni aina ya vitabu ambavyo vipo katika namna ya kuviringishwa, kwa lugha ya kiingereza vinatambulika kama “Scrolls” Aina ya hii ya vitabu ilitumika sana katika karne za nyuma na vilikuwa ni vitabu vya aina ya ngozi. Lakini kwa wakati wetu wa sasa havitumiki tena ..
Jina la Bwana wetu Yesu kristo litukuzwe . Karibu mwana wa Mungu katika kujifunza Neno la Mungu Je makanda ni nini? Makanda ni kwa jina /neno jingine ni (KAPU). Ambacho hutumika kuweka au kubebea vitu tofauti tofauti sana sana vyakula au nafaka. Katika maandiko Neno hili unaweza ukakutana nalo katika vifungu kadha wa kadha, mfano ..
Neno hili novena chimbuko lake limetoka katika lugha ya kilatini linaandikwa “Novem” ikiwa na maana ya tisa(9).Na baadhi ya madhehebu mfano katoliki na Orthodox, wamelichukua neno hili na kulitumia katika aina fulani za sala ambazo ni mfufulizo Kwa kipindi cha siku tisa Na sala hizo huwa kwaajili ya kuomba jambo fulani au kushukuru kwa kipindi ..