Author : watakatifuwasikuzamwisho

Karibu tena kwa mara nyingine katika mfululizo wa makala hii fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, tulishayatazama baadhi ya hayo makanisa na mafundisho yao potofu huko nyuma katika sehemu zilizopita, hivyo, ukiona mahali ulipo katika kanisa lako ni moja wapo ya hayo, huna budi kuchukua hatua ya kutotoka katika kanisa hilo la uongo na kuachana na mafundisho yao, kwani biblia ..

Read more

JIBU: Mambo ya nyumba ambayo mfalme Hezekia aliyoambiwa kuyatengeneza sio jengo la kifalme alilokuwa akiishi ndani yake, hapana! Bali ni mambo ya mwili wake wa damu na nyama, ambao siku zote unapinga kufanya mapenzi ya Mungu, hiyo ndiyo nyumba aliyoambiwa kuitengeneza, kwani mwili huu tulio nao ndio nyumba ya maskani yetu ya hapa duniani, maandiko yanasema hivy..

Read more

Shalom! SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Karibu ..

Read more

Katika mstari huo mtume Petro alimaanisha kuwa, maandiko yote matakatifu ya manabii wa Mungu hayakuandikwa kutokana na mitazamo yao binafsi au mawazo yao binafsi na mapendekezo yao binafsi, hapana! Bali waliandika yote wakiongozwa na Roho Mtakatifu aliyekuwa ndani yao na si mapenzi yao, na ndio maana biblia ..

Read more

Nakukaribisha tena katika mfululizo wa makala hii inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayopotosha watu wengi nyakati hizi za mwisho, kama hukufanikiwa kupata makala za nyuma zilizopita, basi, unaweza tuma ujumbe kw..

Read more

Jina la Bwana Wetu na Mwokozi Wetu Yesu Kristo litukuzwe milele na milele, huu ni mwendelezo wa makala fupi inayoangazia makanisa na mafundisho ya uongo yanayowapoteza watu wengi nyakati hizi za mwisho, kama hukufanikiwa kupata mfululizo wa makala hizi kuanzia sehemu y..

Read more

Swali: Samahani naomba kuuliza, Je! Jina la mtume Yuda Iskariote ni miongoni mwa majina yaliyoandikwa kwenye misingi kumi na mbili ya mji mtakatifu? kwa sababu biblia inasema Yuda Iskariote alimsaliti Bwana Yesu. Na je! Majina ya mitume kumi na wawili yaliyoandikwa kwenye misingi hiyo kumi na miwil..

Read more

SWALI: Nina maswali yafuatayo ambayo naomba msaada wa ufafanuzi, swali la kwanza ni je ufalme wa MUNGU ni nini? Swali la pili ni kwamba, kwa nini ufalme wa MUNGU utakuwa ndani yetu, je ni Roho Mtakatifu ndiye anayezungumziwa hapa au? Na swali langu la tatu ni je, ufalme wa MUNGU ulikuja kipindi gani? Shalom wapendwa ..

Read more

Moja ya tabia ambayo Bwana Wetu Yesu Kristo aliikemea sana na kutukataza tusiwe nayo ni unafiki, tunaliona hilo sehemu kadha wa kadha kwenye maandiko matakatifu aliposema kuwa, katika kuishi kwetu na kuendenda kwetu tusiwe kama wanafki, tunapotoa sadaka tusiwe kama wanafiki, tusalipo tusiwe kama wanafiki, tufungapo tusiwe kama wanafiki, na sehemu nyingine nyingi mno alipoikemwa tabia hiyo ya unafiki na..

Read more

Jibu: Mungu anayezungumziwa hapo ni MMOJA TU, YESU KRISTO, ambaye ndiye Baba (Isaya 9:6), tena ni Mwana (Mathayo 14:33), na pia ni Roho (2 Wakorintho 3:17), wala hakuna Mungu watatu na wala Mungu hana nafasi tatu, hivyo ni vyeo tu kama sehemu nyingine anavyofahamika kama Adamu..

Read more