
Ili tueleweni ni thawabu gani au ni thawabu ya nini inayozungumziwa hapo, kwanza inabidi tuelewe nini maana ya thawabu.
Thawabu ni malipo ambayo mtu anayapata kutokana na jitihada alizozifanya au kitu alichokifanya kwa ajili ya jam..
Ili tueleweni ni thawabu gani au ni thawabu ya nini inayozungumziwa hapo, kwanza inabidi tuelewe nini maana ya thawabu.
Thawabu ni malipo ambayo mtu anayapata kutokana na jitihada alizozifanya au kitu alichokifanya kwa ajili ya jam..
Jibu ni kwamba, hakuna sehemu yoyote ile kwenye maandiko matakatifu ambapo imeelekeza mkristo kufanya ishara ya msalaba kabla na baada ya sala kwa kutamka kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kinyume chake ni kwamba, biblia inamuelekeza mkristo wa kweli kuwa, kwa chochote kile afanyacho, kwa neno au kwa tendo, akifanye kwa JINA LA YE..
Je! Unaweza niambia na kunielekeza kanisani gani ni sahihi katika siku hizi za mwisho ili nikashiriki hapo? kwa sababu kila sehemu unapoenda ni manakisa yamejaa na kila mtu anahubiri habari za Yesu hadi mtu unachanganyikiwa na unashindwa kufahamu lipi ni sahihi na lipi ni..
Katika biblia, kuanzia kitabu cha mwanzo hadi cha ufunuo, hakuna sehemu yoyote ile iliyorekodiwa kuwa, Mariamu mama yake Bwana Yesu alipalizwa mbinguni. Ukimtoa Yesu Kristo, aliyechukuliwa juu katika Utukufu, maandiko matakatifu yanarekodi watu wawili tu wasioonja mauti, ambao ni Henoko na nabii Eliya,..
Biblia inasema katika…
Matayo 7:7 Ombeni, nanyi mtapewa; TAFUTENI, NANYI MTAONA; BISHENI, NANYI MTAFUNGULIWA;
8 kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; NAYE ABISHAYE ATAF..
SWALI: Bwana Yesu asifiwe wapendwa, naomba msaada wa kujua jibu la swali hili, je! kuna tofauti gani kati ya mtu wa Mungu na mtoto..
Sote tunafahamu kuwa, Mungu husema na kila mtu duniani kwa nyia nyingi na tofauti tofauti, Mungu husema na watakatifu kwa njia tofauti tofauti, husema na wenye dhambi kwa nyia nyingi mno, husema pia na watu walio na ulemavu wa akili, ..
Moja ya kazi ya ibilisi duniani ni kutaka kuwafanya wanadamu wadumu katika dhambi na kujifariji katika hizo, na kitu ambacho ibilisi anakitumia ili kuwafanya watu wadumu katika dhambi si kingine zaidi ya maandiko matakatifu, kumbuka, ibilisi haji na kitabu cha fizikia, au sayansi, au ..
Isaya 66:23 inasema, Na itakuwa, MWEZI MPYA HATA MWEZI MPYA, NA SABATO HATA SABATO, wanadamu wote watakuja kuabudu mbele zangu, asem..
Ulishawahi kujiuliza swali kama hilo au swali linalofanna na hilo? Au ulishawahi kutamani kitu kama hicho kutoka kwa Bwana? Kama jibu ni ndio, basi fahamu kuwa wewe sio wa kwanza, kwani hata mitume wake waliotembea nae na kula walishawahi omba kitu kama hicho kut..