
Makuhani wa Mungu katika biblia ni watu waliotiwa mafuta na kuteuliwa na Mungu kwa kazi zote za ibada mbele za Mungu kwa ajili ya watu wake, mfano; upatanisho wa dhambi, kufukiza uvumba n.k na watu hawa ndio waliokuwa na NAFASI AU UWEZO wa kumsogelea Mungu kwa ukar..